Urio kimiroI
Senior Member
- Jan 2, 2016
- 146
- 74
MAJIBU YA WAZI YA MWANASHERIA BIBI FATMA KARUME AMBAE NI MTOTO WA AMANI KARUME.
Kwanza kabisa sina budi kukushukuru sana kwa weledi wako wa kujitokeza kifua mbele katika masuala yanayosiana na siasa za Zanzibar hivi sasa. Hii inaonesha dhahir kwamba siasa iko kwenye damu yako na unaumwa sana na nchi hii kutokana na historia ya familia yako na Zanzibar.
Naomba kukumbusha tuu dada yangu kwamba unayoyafanya sasa hivi si akili yako. Kwa sisi tunaokujua unatumika na umeamua kutumika kwa faida ya familia yako Fatma.
Kilichotushangaza zaidi ni hii kauli yako ya leo kwenye gazeti la Mwananchi Alkhamis 7Jan 2016. Unapomtaka Dr Shein akae pembeni.
Swali langu kwako na Baba yako mbadala wa Dr Shein akeshaondoka awe nani. Baba Yako Amani Karume???
Ngoja nikukumbushe kumbukumbu kidogo.
Baba yako alikiwa Rais hapa Zanzibar kwa miaka 10. katika miaka hiyo yote ya uongozi wake alifanya mengi mazuri na mengi ya nuni wa firauni. Hatukusikia kupaza sauti yako hata mara moja. au ulikuwa BUBU kipindi kile Fatma????
Ulikuwa wapi wakati Baba yako alipowauwa Wazanzibar wasio na hatia kule Pemba?
Ulikuwa wapi wakati baba yako anaiendesha Serikali kiushemeji shemeji?
Ulikuwa wapi wakati baba yako Rais alipokuwa akipora ardhi za wanyonge tena waliowengi wa Zanzibar akiwa ni pamoja na mjomba wako Mansori na Bibi yako Fatma Karume?
Hukuwahi wala hukuthubutu kutoa kauli yoyote ile dhidi ya baba yako au Serikali yake. Ulinyamza kimya na kufaidi matunda ya Mapinduzi na Serikali yake.
Fatma dada yangu hakuna asiejua kipindi chote cha Urais wa Baba yako ulikuwa ndio mshauri wake wa karibu wa masuala ya Sheria Zanzibar. Ulikuwa a shadow AG. Baba yako Karume hakiwa akihitajia ushauri kutoka kwa AG wake Marehemu Iddi Pandu Hassan. Alibase zaidi kwako jee kwanini usitumie fursa hiyo kumshauri Baba yako vizuri namna ya kuendesha Serikali?
Washwahili wamesema nyani haoni Kundule. Bi Fatma na Baba yako unakumbuka ulimshauri Rais Karume wakati huo mwezi May 2010 ajiongezee muda wa kukaa madarakani kwa kisingizio cha kusimamia makubaliano ya muwafaka.
Draft paper umeandika wewe Fatma na Abubakar wa cuf iliyotaka karume aendelee kuongoza kwa miaka miwili zaidi hadi 2012/2013 ambapo kwenye draft yako ukaweka Baba yako awe Rais na Maalim Seif awe Waziri Kiongozi???? Sisi tuliowengi tunakumbuka hilo Dada yangu na wala hatulisahau.
Shukrani za pekee kwa malaika wema walioweza kulizima ovu lile ulilomshauri Baba yako ili mupaye fursa ya kuzidi kutuangamiza Zanzibar. Maana lengo lenu ni kuitumia ile miaka miwili kusaini mikataba ya mafuta ili muwe na interest security kwenye oil industry.
Mwenyezi Mungu hakuwa nanyi bomu likaripuka. pone pone wewe na baba yako ndio mkatuletea mseto huu uliokuwa nao sasa ambao bado mnaendeleza chokochoko zenu kutokana na kutokuwa tayari kuachia madaraka 2010. Hali hiyo ndio inayowafanya kutompa raha ya kuongoza Dr Shein. kwa kumfanyia kila aina ya vituko. Mna bahati Dr Shein mkimya na mpole angekuwa Komandoo mko jela wote nyie.
Naomba tujibu Bi Fatma aondoke Dr Shein aje nani Baba yako kutumaliza zaidi au Maalim Seif( a new alliance)
Wakili Fatma wewe sio wa kusema ulikuwa unyamaze kimya lkn ni ngumu kunyamaA kwa binaadamu yoyote maana maslahi uliyokuwa unayapata serikali iliyopita yameyeyuka ghafla. Sasa unaganga njaa kwa kumshupalia Baba wa watu Dr shein ili ujulikane na wewe upo.
Ule wakati wa kudharauliwa AG ukapewa kipaumbele wewe Fatma sasa haupo.
Unakumbuka ulipopewa tenda na Baba yako kusimamia kesi ya Bandari wewe na Mulamula hivi smz ilikulipa kiasi gani??? Kwanini uisimamie wewe ile kesi kwa niaba ya serikali badala ya AG.
Na ile kesi ya Eco Tec vs Ministry of Financd ya Zanzibar???? Zote baba yako alikupa usimamie wewe AG kivuli?
Malipo yako yalikuwa kiasi gani unaweza kutuwekea hadharani?
Ile kesi ya kugonga meli ya bandari iliyokufikisha hadi UK... burungutu lake vipi?
Fatma wewe mbinafsi na mchoyo sana. Na wala hujaelekea kabisa uko selfish kabisa hebu mwachie Dr Shein aendelee na kazi zake dada wewe... Una kijicho cha njaa na ilihal umeshiba...ulipokuwa BP unafanya kazi na ulipohama si uliiba clients wote wa BP na ukahama nao. BP hawakusahau wala hawakusamehe kwa dhambi hiyo.
Bi Fatma kama wewe mjuzi wa sheria kweli naomba nikuulize suala la mwisho. Inajulikana uliwahi kuuwa kwa mwendo kasi wa gari na kumginga mtu wakati unarudi shamba na umelewa chakari, bahati nzuri uliweza kuilaghaibile familia ya kuwalipa kifuta machozi. Kama mwanasheria nguli unahisi umefanyanya sahihi???? jee haki imetendeka hapo?
Bi Fatma mwisho tunakuomba bora tulia udumishe ndoa yako na dr Omar usimtie ila au dosari kaka wa watu. akaonekana kama kapata mke mwehu anapayuka tuu kwenye media. Naamini Omar hana mashaka makubwa kama uliyonayo au unaendeleza fikra za mwanamme wako wa zamani Rashid ulipokuwa nae UK?? mtoto wa Bw Salim Rashid.. amekukoleza uhizbu kidogo?
Tunakuomba sana tuheshimiane Fatma. kama kusoma umesoma wewe sisi wengine hata elimu hatuna lkn tuna maarifa ambayo wewe huna wala baba yako hana.
Na mwisho kabisa na mwisho tunasema kwamba usifanye kukurukakara zozote za kisiasa. hapa tulipofika ukoo wa karume hautawali Zanzibar tena.
Tafuta kazi nyengine ukafanye dada.
Ahsante Sana
wako
Mtandao wa wanyonge waliowengi Zanzibar

Last edited by a moderator: