NSSF wakodi ukumbi Bagamoyo

shinyangakwetu

JF-Expert Member
Jun 25, 2015
2,487
2,394
Ikiwa ni katika kudharau maamuzi ya rais Magufuli ya kubana matumizi kwa kila sekta, Magufuli aliagiza pamoja na mambo mengine kutumia kumbi za taasisi husika kufanyiwa mikutano. Lakini katika pitapita zangu nimekutana na wafanyakazi wa NSSF Bagamoyo wakiwa eti wanaganga kikao ADEP.
Mkuu wa shirika unalijua hili?
 
Ikiwa ni ktk kudharau maamuzi ya rais magufuli ya kubana matumizi kwa kila sekta,magufuli aliagiza pamoja na mambo mengine kutumia kumbi za taasisi husika kufanyiwa mikutano.Lakini ktk pitapita zangu nimekutana na wafanyakazi wa Nssf bagamoyo wakiwa eti wanaganga kikao ADEP.Mkuu wa shirika unalijua hili?

Alichokataa raisi ni ukodi kumbi za mahoteli.Hiyo ADEP ni taasisi ya serikali wao kutumia ukumbi wa taasisi ya seikali sidhani kama ni kosa.Hao NSSF bagamoyo ofisi zao zina ukumbi wa kutosha hiyo shughuli yao? Kama hawana kuomba ukumbi wa taasisi ingine ya serikali sioni tatizo.
 
Kwanza hakuna nssf bagamoyo!itakuwa wametoka Dar: labda wana balaza kuu la wafanyakazi au semina yenye watu wengi! Tuache fitna tufanye kazi! Majungu kibao! Ili iweje? ADEM ni wakala wa serikali! Sio Hoteli ya kitalii!
 
Du ni hatareeeeeee,hivi kuna agizo LA kutokukodi kumbi ee au mtoa mada hajielewi
 
Ikiwa ni katika kudharau maamuzi ya rais Magufuli ya kubana matumizi kwa kila sekta, Magufuli aliagiza pamoja na mambo mengine kutumia kumbi za taasisi husika kufanyiwa mikutano. Lakini katika pitapita zangu nimekutana na wafanyakazi wa NSSF Bagamoyo wakiwa eti wanaganga kikao ADEP.
Mkuu wa shirika unalijua hili?

wabongo huku mnapotaka kwenda sasa sio, hata wakati wa mchonga tunaambiwa watu walikuwa wambea lakini sio kwa kiwango hiki. Mkuu wa shirika atakosaje kujua, je ungewakuta hotelini beach?
 
Ikiwa ni katika kudharau maamuzi ya rais Magufuli ya kubana matumizi kwa kila sekta, Magufuli aliagiza pamoja na mambo mengine kutumia kumbi za taasisi husika kufanyiwa mikutano. Lakini katika pitapita zangu nimekutana na wafanyakazi wa NSSF Bagamoyo wakiwa eti wanaganga kikao ADEP.
Mkuu wa shirika unalijua hili?
Ndugu unamaanisha ADEM? Ama sehemu nyingine? kama ni pale WAMEBADILI jina?
 
Du ni hatareeeeeee,hivi kuna agizo LA kutokukodi kumbi ee au mtoa mada hajielewi
Mtoa mada haelewi. Agizo ni kwamba mikutano ifanyike kwenye kumbi za mikutano za taasisi lakini kama ukumbi wa taasisi haupo ama hautoshi basi watumie kumbi za taasisi za serikali. Hivyo sioni kama NSSF wana kosa kwa kuwa wapo kwenye ukumbi wa taasisi ya serikali. Mtoa mada ana wivu ule aliousema Msekwa miaka ileeee.
 
Huo ukumbi unachukua watu wangapi? hao wajumbe wako wangapi? na ni mkutano wa nini? labda tuanzie hapo kwanza.
 
Duh kazi kwelikweli, huo ukumbi wenyewe ni very local na bado mnalalamika sasa inabidi vikao wafanyie chini ya mti
 
images

hata huu ni ukumbi
 
Wamejiwekea mazingira ya kulipana posho a.k.a perdiem. Wakati kikao kingeweza kufanyikia dar, JPM wafuatilie hao, hakuna mtu anaweza kukiuka maelekezo ya Rais. Kwani wao nani mbona wengine tunafuata maelekezo?
 
Wambie waje wafanyie kwenye site groom's yako wakulipe mijitu mingine bwana fanya kazi Acha walio bahatika na kazi wewe umekalia kufatilia Leo nani kanya nani kajamba mbafu kweli wewe
 
Back
Top Bottom