hayaland
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 712
- 399
Kumekuwepo na tabia ya mawaziri kujifanya wanaendana na kasi ya mh. Magufuli kufikia hatua ya kuvunja sheria za nchi.Baadhi ya mawaziri wanavamia mahospitali,kuvamia taasisi za watu binafsi na sehemu nyingi kisa Rais Magufuli alifanya hivyo.Hii sio sahihi hata kidogo kwa sababu ukivamia uwezi pata taarifa kamili hasa zile za msingi.
Mfano mzuri ni Kigwangallah aliyewafungia watumishi wa umma nje ya hospitali kisa wamechelewa, hii sio sahihi kwani hujui huyu mtumishi uliyemfungia alilala na matatizo gani.
Jifunze kwa prof. Muhongo anafanya kazi kwa weledi wa hali ya juu na sayansi aliyoisomea hakurupuki hata kidogo anakutana na watumishi na anatoa maelekezo lakini sio kutoa vitisho na kazi za vitisho hazina matokeo mazuri hata kidogo.
Nasisitiza mawaziri fanya kazi kwa weledi.