aminiusiamini
JF-Expert Member
- Aug 25, 2011
- 3,577
- 2,227
WanaJamii,
Kipindi cha nyuma kidogo, niliandika kuhusu uongozi wa Raisi Magufuli utakavyoleta siasa chafu za maji taka, chuki na visasi baina ya wananchi kwa wananchi kutokana na gap iliyomo kati ya wale kama mimi(masikini) na wale walionazo.
Ifahamike kuwa Raisi Magufuli sio wa kulaumiwa moja moja bali ni system zilizowahi kuwepo kabla yake ndizo zilzosababisha ufa huu;tunapotazama miaka kumi ijayo ya Magufuli, ninaona ufa huu kuongezeka na kuwa mkubwa zaidi.
Kwanza namshutumu Raisi Magufuli kwa kuchagua watu ambao hawana sifa kama mawaziri na wengine wao kuwa shinikizo na Bunge juu ya utumishi wao kutoka miongo iliyopita. Nasema hivi maana watu hawa waliorudishwa wamenza kufanya kiasasi kwa watumishi waliochini yao na kuwanyanyasa kwa maslahi yao binafsi.
Watu kama Muhongo na Mwakyembe wamesikika wakiongea kwa kejeli sana na dharau.Napenda kuwajulisha umma na taifa kuwa,nathani tunajifunza visasi ni juu ya Mungu wetu. Lakini naawaambia hawa watu kwamba vita wanayoanzisha na kisasi hakitakuwa juu ya Mungu, maana Mungu husamehe na husamehe. Lakni mwanadamu hasamei na wala hasahau.Rwanda walipigana kutokana na ukabila.Tanzania imekuja vita ya wale wasiokuwa nazo na walionazo.
Hii vita wasianzishe wao,na kurudi nyuma.Wasilindane wao wenywe kwa wenywe na kuwatoa watu kafara na kuwaharibia maisha.Magufuli kama yeye ni mwanaume akamate wale walioko Lumumba na sio watu wachache,na hao mbwa wake wakae makni sana maana watanzania tutalipizana kisasi kabla ya asubuhi hakujakucha.
Mwenye sikio na asikie na mwenye macho asome na iko siku watanzania mtakumbuka maono yangu.Muda huu sio wa kisasi wala majigambo na wala chuki na kulaumiana.Magufuli usifukuze watu kutokana na kile umesikia au kukiona.Wengi hata waliokamatwa pale bandarini na TRA hawakuwa na na jinsi ni kafara tu.Narudia tena kama wewe mwanaume kamata wale waliosababisha kafara na madudu na sio watu hawa.