Recent content by satak

  1. S

    Kesi zilizowahi kujipatia umaarufu mkubwa Duniani

    Naona kesi ya mauaji ya kimbari imesahaulika
  2. S

    Msaada: Kutoka kwa wanasaikolojia wa mapenzi

    Si lazima upewe kwa kutafuta anaweza akawa huyo ndo umepangiwa ili upate kupitia kwake tizama nia yake na hitajio lako huwenda upo sehem sahihi kwa taaluma yako hutashindwa kumpa test ndogo ndogo za kupima uelewa wake juu ya maisha ili asije akawa anafikiri na kwako atakuta kama vya kwao
  3. S

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mkasi ni nyimbo ya marehem mangwea
  4. S

    Alphonce Mawazo Kutokuzikwa Kesho

    Ndugu wa mawazo ni wale wote wanajielewa
  5. S

    CHADEMA kuomba kibali cha kuuaga mwili wa Mawazo mahakamani

    Kwa upande wa jeshi la police si tuna jeshi ...kinyesi tu
  6. S

    Polisi watanda na mabomu mitaa ya kona ya Bwiru karibu na ofisi za Kanda za CHADEMA

    Inasikitisha sana watu wanaanza kuichukia nchi yao kwa maslahi ya wachache
  7. S

    Shule za Msingi Temeke yasemekana nafasi zimejaaa

    Watoto wa mjin tunasema ngoma droo
  8. S

    Kata zaidi ya 1020 vs kata 200 na bado unahisi umeibiwa?

    Uwepo wa chama kinachoitwa chadema ndio msingi wa hata watu kupata mada za msingi kuongelea siasa zetu kila siku kinashusha asilimia za ushindi wa magamba na bahati yao wanabebwa na vinavyojiita vyombo huru ktk haki leo wangekuwa wanaota moto kwenye majiko ya kuni *****
  9. S

    Twendeni tukamuage, tukamzike kamanda Mawazo

    Pumzika kwa amani kk hakuna maneno yanayoweza kujitosheleza kuelezea mchango wako ktk ujenzi wa tanzania yenye haki.
  10. S

    Kinondoni:- Wilaya inayoongoza kwa wanawake warembo Tanzania

    Binafsi naonaga kama mwanamke mrembo ni hasara nadhan ndo maana hawazaliwi wengi
  11. S

    Ombi maalum: Rais Magufuli naomba ifute Taifa Stars na TFF

    Lile likiwanja limejengwa kwa hela nyingi hata sion faida yake
  12. S

    KUFUZU KOMBE LA DUNIA 2018, Novemba 17 2015: Algeria vs Tanzania

    Au tuanze kujifunza basball maana lile unashika unakimbia nalo tu
  13. S

    KUFUZU KOMBE LA DUNIA 2018, Novemba 17 2015: Algeria vs Tanzania

    Yaan kweli watu milion 45 na usheh hakuna watu kumi na moja tu wenye kipaji cha football?
  14. S

    KUFUZU KOMBE LA DUNIA 2018, Novemba 17 2015: Algeria vs Tanzania

    Kocha atasema hali ya hewa au majeruhi wengi
  15. S

    KUFUZU KOMBE LA DUNIA 2018, Novemba 17 2015: Algeria vs Tanzania

    Mm nazidi kushauri tuachane na mashindano ya kimataifa kwa miaka 10 kwanza
Back
Top Bottom