Alphonce Mawazo Kutokuzikwa Kesho

Alphonce Mawazo Kutokuzikwa Kesho

mzikeni jamani,kwa nini mnamtesa namna hii marehemu?

Marehem hajawaiteseka wewe, ule ni mwili tu wa marehem hata mkiutupa mkiuchoma haina shida kuzika ni heshma tu na kumbukumbu kwamba amezikwa hapa
 
Huyo mawazo hana ndugu.haiwezekani kama kweli ana ndugu wakubali mawazo aoze kusubiri vikao vya nyumbu wakijadili kwenda mahakamani
 
Ni kiangalia huu uzinaona ....mafisiem wengi wamefurahi kufa mawazo..... ila kumbuken nyote tutakufa .....
 
Kwa sasa inaweza kuthibitishwa rasmi na kwa usahihi kuwa ratiba ya kumpatia heshima za mwisho kumuaga kiongozi wetu mahiri na kipenzi cha watu Alphonce Mawazo imebadilika.

Baada ya mashauriano kupitia vikao yaliyofanyika takriban siku nzima ya jana hadi usiku, imekubalika kuwa Mawazo hatazikwa kesho Jumatatu kama ilivyokuwa imepangwa awali na leo hataagwa mjini Geita kama ambavyo wananchi walikuwa wameshataarifiwa kupitia njia mbalimbali.

Taarifa ya ratiba nyingine kuhusu utoaji heshima za mwisho kumuaga Mawazo na mazishi yake, itatolewa baadae.

Viongozi waandamizi walioko jijini Mwanza pamoja na Wabunge wa Kambi ya Upinzani ambao wameshafika hapa jijini Mwanza watazungumza na waandishi wa habari saa sita mchana, Gold Crest Hotel. Chombo chako kinakaribishwa.

Makene.
 
Walianza na Lowassa wakahamia kwa Maalim Seif wakaenda kuzomea Bungeni wakaenda kutimuliwa kwny Msosi Dodoma sasa wamehamia kwny Maigizo ya Kutembeza mwili wa Marehemi. Kuweni na Adabu acheni familia ipumzishe mwili wa Marehemu panapostahili, ingekuwa kafa ndugu yao wangefanya hayo maigizo?

Kwako wewe unaona maigizo,ila wapo wenye upeo mpana wanaelewa . ...
 
Marehemu alikufa kwenye harakati za kisiasa na atazikwa kwa njia hizohizo.
kwahiyo wewe huoni jinsi wanavyomuhangaisha marehemu? Matokeo yake anaweza kuamka na kuwaambia mumzike maana Naona Mnaleta Siasa Hata kwenye Misiba
 
Huyo mawazo hana ndugu.haiwezekani kama kweli ana ndugu wakubali mawazo aoze kusubiri vikao vya nyumbu wakijadili kwenda mahakamani

mkuu unadhani Hawa jamaa Wana Akili? Ipo siku utasikia mwenyekiti kawauza wote tena kwa Bei ya Jumla.. Haiwezakani muendeshwe tu kama vipofu
 
Waliwatuma wauaji na walimuua Alphonce Mawazo wanateswa na roho pamoja na mwili wa marehemu kwa kuwa haujazikwa.Tunataka kila Mtanzania ashuhudie mauaji yake kwa kuona majeraha yake kichwani na shingoni...Mnaweza kuwaua watu weengi lakini hamtotumaliza.Mnaweza kuzimisha ndoto za mtu mmoja,lakini hamuwezi kuzuia harakati..Tutamzika kishujaa kama mlivyomuua.
 
mijitu ya kazkazini bwana wanataka kuutumia mwili wa marehemu kupiga madili yao
 
Marehemu alikufa kwenye harakati za kisiasa na atazikwa kwa njia hizohizo.

kwahiyo polisi wakikaza uzi marehemu hatazikwa? Mbowe kawaharibu vijana Wengi Sana R.I.P kamanda lakini uliowaacha huku hatuwaelewi
 
Waliwatuma wauaji na walimuua Alphonce Mawazo wanateswa na roho pamoja na mwili wa marehemu kwa kuwa haujazikwa.Tunataka kila Mtanzania ashuhudie mauaji yake kwa kuona majeraha yake kichwani na shingoni...Mnaweza kuwaua watu weengi lakini hamtotumaliza.Mnaweza kuzimisha ndoto za mtu mmoja,lakini hamuwezi kuzuia harakati..Tutamzika kishujaa kama mlivyomuua.

polisi naomba waanze na wewe kwani kwa comment hii nadhani unawajua wauaji
 
mijitu ya kazkazini bwana wanataka kuutumia mwili wa marehemu kupiga madili yao

Kabla ya kujadili wanaotaka kupiga dili tujadili madhumuni ya waliomuua.Kwa nini wanazuia wananchi kutoa heshima zao za mwisho?..Mbona walitoa kwa Celina,Filikunjombe,na wengineo?..Kuna nini nyuma ya pazia?..Nauliza kuna nini?
 
hao walipewa Heshima Sehemu gani na Walikuwa nani katika Nchi hii?
 
Walianza na Lowassa wakahamia kwa Maalim Seif wakaenda kuzomea Bungeni wakaenda kutimuliwa kwny Msosi Dodoma sasa wamehamia kwny Maigizo ya Kutembeza mwili wa Marehemi. Kuweni na Adabu acheni familia ipumzishe mwili wa Marehemu panapostahili, ingekuwa kafa ndugu yao wangefanya hayo maigizo?

kwa hiyo kwa akili yako mwalimu alipoagwa mwaka 1999,kigoda,kombani,komba,deo hayakuwa maigizo ila kwa mawazo ndio maigizo
 
Walianza na Lowassa wakahamia kwa Maalim Seif wakaenda kuzomea Bungeni wakaenda kutimuliwa kwny Msosi Dodoma sasa wamehamia kwny Maigizo ya Kutembeza mwili wa Marehemi. Kuweni na Adabu acheni familia ipumzishe mwili wa Marehemu panapostahili, ingekuwa kafa ndugu yao wangefanya hayo maigizo?

hakuna mwenye hati miliki ya nchi ni yetu wote hatukuaplly kuzaliwa Tanganyika Mawazo anahaki ya kupewa heshima zote hata kama magufuli na kikundi chake hawataki
 
Walianza na Lowassa wakahamia kwa Maalim Seif wakaenda kuzomea Bungeni wakaenda kutimuliwa kwny Msosi Dodoma sasa wamehamia kwny Maigizo ya Kutembeza mwili wa Marehemi. Kuweni na Adabu acheni familia ipumzishe mwili wa Marehemu panapostahili, ingekuwa kafa ndugu yao wangefanya hayo maigizo?

acha njaa ya mk.ndu wazi wewe akil yako inawaza msosi tu.
 
Back
Top Bottom