Recent content by SASTONI

  1. S

    askari wasio traffic ni halali kuuliza leseni

    traffic kwa kiswahili ni barabara
  2. S

    Mwanafunzi chuo kikuu UDSM apigwa risasi- Afariki

    inasikitisha sana najua huelewi kuhusu polisi umekaa kiushabiki umepandikizwa chuki zitakutesa sana kwani hakuna muda wa kukuelimisha.polisi hawawezi kumridhisha kila mtu. R.i.p alex.waliotenda maovu haya walaaniwe.
  3. S

    Naibu waziri mambo ya ndani:Mauaji yanayofanywa na police yanafanywa kisheria.

    SS.18,18A,18B,18C &19 OF THE PENAL CODE CHAPTER 16 R.E.2002 "...a person is not criminally liable for an act done in the exercise of the right of self defence or the defence of another or defence of property..." K.F.18 SURA YA 16 KANUNI YA ADHABU KAMA ILIVYO FANYIWA MAPITIO 2002 "...Mtu hawezi...
  4. S

    Jua haki yako unapokamatwa na Polisi

    Siyo kihivyo kaka usilichukie jeshi la Polisi kutokana na hisia binafsi dhidi ya baadhi ya askari wasiofuata maadili ya jeshi la polisi.ungekuwa askari polisi ungefanyaje unapokutana na jambazi lenye silaha alafu linataka usilikamate kwanza mpaka likupekue?!!!yapo mazingira hayo hayawezekani...
  5. S

    Sifa kuu za polisi wa Tanzania

    Ni kweli kabisa lakini ni vema mkafikiria kwa kina,Mambo ya kusoma kipande cha gazeti na kutoa hukumu si utaratibu wa kiungwana ukifeli mtihani wowote unalaumu polisi ukikamatwa na bhangi unalaumu polisi!Askari Polisi wapo zaidi ya 45,000 aingii akilini hata kwa yule aliye pata division 0 hivi...
  6. S

    Unamfahamu DCI Manumba wewe?

    eee mwenyezi mungu kwa kiwango hicho hicho wanacho mwombea mwanadamu wako mabaya IWARUDIE NA IKIWEZEKANA WAANZE KUONJA ADHABU YAO HAPA HAPA DUNIANI KWANI HAWA NI VIUMBE WA AJABU SANA KUFIKIA KIWANGO HICHO CHA KUMUOMBEA MWANADAMU ULIYE MUUMBA MABAYA Hawa ni sawa na wachawi.MUNGU MSAIDIE KAMANDA...
  7. S

    why idadi ya watu wanaokota makopo machafu na safi dar inaongezeka

    Hee!! Inamaana wewe ukiwa rais watu wote watakuwa mawaziri?itabidi tukodi waokota makopo nchi nyingine.hakuna nchi yoyote hapa duniani ambayo hakuna mgawanyo wa kazi.
  8. S

    Makahaba Wagonganisha Ma RPC Dar

    Wamekukosea nini au unachuki binafsi.fikiria vizuri-wewe umeshiriki kutunga sheria za nchi hii wabaya wako wanacho fanya ni kutekeleza/kusimamia hizo sheria mlizo zitunga.
  9. S

    2013: Polisi waanza na utani wa kuudhi

    Umejengwa kuwachukia Polisi bila kuwa na sababu za msingi.Mtu mwenye akili ya kawaida tu atabaini jinsi ulivyo na mapungufu katika kutafakari mambo.POLISI IPO NA ITAENDELEA KUWEPO JUKUMU LA ULINZI NA USALAMA WA TAIFA HILI NI LA WATANZANIA WOTE-UMEFANYA NINI KUKOMESHA UHALIFU KTK NCHI YAKO?POLE...
  10. S

    2013: Polisi waanza na utani wa kuudhi

    Hawa inaonyesha ni miongoni mwa watu walioshughurikiwa na Polisi kutokana na kushindwa kwao kufuata sheri za nchi hivyo wana hasira na Polisi-POLISI HAWAWEZI KUMFURAHISHA KILA MTU.
  11. S

    Fisadi na Jangili ndio wanaotegemewa CCM

    Hii ndiyo inayo takiwa tuwabaini Mafisadi na si kujaribu jaribu watu tusio wajua.
  12. S

    J.K. na uhuru wa mahakama.

    ulikaribia kuwa na hoja lakini naona hukusikiliza Hotuba vizuri. kwakuwa anania hiyo bac kwamaksudi watachelewesha kesi.
  13. S

    Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

    Siyo kama mwaikibaki au mugabe?2015 umri...
  14. S

    Polisi kutumia magari yao binafsi katika kufanya kazi hii imekaaje?

    UMEJIPOTOSHA!kila taasisi kuna wasio waadilifu usi jumuishe polisi wote kwa tukio moja tumia vizur taaluma yako kiutafit
  15. S

    Polisi kutumia magari yao binafsi katika kufanya kazi hii imekaaje?

    kama wanatumia kwa nia njema ktk kujirahisishia kazi hakuna ubaya polisi nao wana haki ya kumiliki magari na wanauwezo
Back
Top Bottom