Polisi kutumia magari yao binafsi katika kufanya kazi hii imekaaje?

kama wanatumia kwa nia njema ktk kujirahisishia kazi hakuna ubaya polisi nao wana haki ya kumiliki magari na wanauwezo
 
UMEJIPOTOSHA!kila taasisi kuna wasio waadilifu usi jumuishe polisi wote kwa tukio moja tumia vizur taaluma yako kiutafit
 
Back
Top Bottom