askari wasio traffic ni halali kuuliza leseni

askari wasio traffic ni halali kuuliza leseni

Jibu zuri, wote kazi ni kusimia sheria, hata trafiki ana anaweza kumdhibiti muarifu wa aina nyingine. mavazi ni utambulisho tu.

Mkumbushe yule traffic police Mkwawa alipowamwagia njugu majambazi pale Ubungo mataa. Ingekua traffic hafanyi kazi za askari wa kawaida and vice versa afande Mkwawa si angekimbia tu!
 
Hakuna chuo cha utrafic.Kuna vyuo vya upolisi,Hivyo askari wote ni sawa na wana wajibu sawa katika ku enforce law.Ukimuona amevaa nguo nyeupe basi ujue ni mzunguko wa kazi tuu kwani kesho waweza kumuona amevaa nguo za kijani au za rangi ya udongo. Hivyo ndugu ukisimamishwa na askari polisi yoyote mwenye uniform bila kujali kavaa nguo za rangi gani unawajibika kujibu maswali anayokuuliza na ukikataa unajirisk kushtakiwa na kosa la disobedience of lawful order au obstracting a law enforcement officer ambayo ni makosa ya jinai na hayo ni mbali na hilo kosa ambalo kwalo alikusimamisha
kwa hiyo akikupa order ya kutaka rushwa ukakataa, utakua unakosa na wewe kwa kukataa kutii order yake. Ingawa na yeye pia atakua na kosa la kuomba rushwa!?
Je magereza sio askari? Akikusimamisha usimame? Vp wanajeshii jwtz!
 
Mkuu usichanganye mambo au ukafanya kitu kirahisi kuwa Mtihani.Kudai au kutoa Rushwa ni kosa la jinai la halipo kwenye majukumu ya askari nadhani hata wewe unalielewa hili. Rushwa ni adui ni ugonjwa mbaya sana kwani kuna usemi wa kilatini unasema "CORAPTIO OPTIMI PRESIMA" Ukimaanisha kuwa katika maovu yoote basi Rushwa inaongoza. Kuhusu susla la wanajeshi na askari Magereza ni kwamba kila jeshi limeundwa kwa sheria yake na kunasheria zinazoonyesha majukumu yao ya kazi. Mfano sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai imetaja matabaka ya aina tatu ambao wanaweza kukamata. 1. Askari Polisi 2.Raia wa kawaida 3.Hakimu. Hivyo ukisimamishwa na askari yeyote akiwa ajaambatana na askari polisi katika kazi hiyo ni sahihi kabisa kwa mujibu wa kifungu cha 16 cha CPA na haraka iwezekanavyo inabidi akufikishe kituo cha polisi ili wakaendelee na taratibu za kisheria kwani ndio wamesomea mabo hayo
 
Kama unaona wanafanya kazi, tofauti na utaratibu dawayake wakikusimamisha, ni kuto simama tu. maana wanaingilia kazi zisowahusu.

Mkuu niliongezea nondo zako in other way around kwa kusema pale ambapo pana makosa ya wazi hata hawa wengine wanaruhusiwa kukamata mfano wale wa pikipiki anaweza akawa anahisi una mzigo haramu lakini akikuta una kosa lingine lazima akushughulikie hoja yangu hapo kwenye utofauti wa mavazi ili kila mmoja a concentrate kwenye yale ambayo yapo kwenye JD yake ila endapo itatokea kuna uhalifu mwingine mbele yake anashughulika nayo kwani hata kwenye driving school tunafundishwa askari wote wana haki ya kukamata ila issue iliyofanya niandike vile kwenye comment yako kutokana na hali ya sasa unakuta askari polisi kutokana na maslahi binafsi unakuta wapo busy kufuatilia other issues kutokana na uzembe wa mamlaka zingine na wanajisahau na jukumu lao lingine la kuangalia usalama kwa ujumla
 
Hawa askari wanaovaa kaki kuna mmoja alinisimamisha pale mwenge njia ya bagamoyo na kuniuliza leseni nikampa washa endiketa nikawasha fire triangle nikampa akaniuliza mbona gari chafu nikamshangaa hivi hili nalo nin kosa hivi hawa kweli wanajua sheria ndo mana wakawekwa wale wa nguo nyeupe ili waonekane vema barabarani na pia wasiunguzwe na jua hawa kama kweli wanapaswa kukaa barabarani wakae waone jua la hadi saa tisa kama hawajakimbia wenyewe wanapaswa kupiga misele kwenye majambazi wao kutwa kusalandia mabodaboda na kushtukiza Nyeshtukiza ndo mana ujambazi hauishi
Nyie wote mi nawaona kama mburula fulani hv,Kama una ndugu yako ambae ni askari kamuulize akufafanulie,hao unaowaita wanavaa kaki wanaitwa GENERAL DUTY(GD) hao wanafanya kazi yoyote ile inayojitokeza mbele yao
 
Nyie wote mi nawaona kama mburula fulani hv,Kama una ndugu yako ambae ni askari kamuulize akufafanulie,hao unaowaita wanavaa kaki wanaitwa GENERAL DUTY(GD) hao wanafanya kazi yoyote ile inayojitokeza mbele Yao,tatizo hamna uelewa wa haya mambo mnabaki kubwabwaja tu
 
Wewe ndie mburula number one yaani wanafanya kazi yeyote inayojitokeza mbele Yao ?ina Maana hata kubambikia watu kesi kuwekea watu mafuvu bangi nk watumie fursa sio ? Yakupasa utambue Kuwa hapo kuna mkanganyiko mkubwa yapaswa patizamwe kwa jicho la Tatu kwani pamekuwa shamba la rushwa
 
Wee kweli mnyoo kama avatar yako ilivyo. Uliwahi kusoma wapi au sheria gani inataja kubambika watu kesi ni majukumu ya polisi?Wakifanya hivyo ni Prophesional misconduct na ndio maana wanafukuzwa kazi kila kukicha.Katika idara yenye watumishi wengi na waliosambaa pande zote za nchi na wanaotoka karibia kila eneo la nchi HATA Ukiwafundisha vipi lazima watapatikana wanaokengeuka. Hivyo tunapozungumzia majukumu ya polisi tuzungumze yaliopo kwa mujibu wa sheria
 
JIBU NI HALALI tena kwa mujibu wa utendaji wake wa kazi yeye ana wigo mpana zaidi kwa sababu yeye hajawekwa kwenye kundi lolote la wataalamu wa makosa . anachotakiwa yeye kufanya ni mara anapomkamata mtu na kosa mf; hilo la usalama barabarani anatakiwa akupeleke kwa wataalam yaani traffic office tayari kuandaliwa mashtaka. khali kadharika ktk ukwepaji kodi yampasa akufikishe kituo cha polisi kisha kwenye mamlaka husika .suala la rushwa hayo ni maafikiano yenu/kutoa au kukataa/kutoa taarifa au kutotoa taarifa.
 
Wewe ndie mburula number one yaani wanafanya kazi yeyote inayojitokeza mbele Yao ?ina Maana hata kubambikia watu kesi kuwekea watu mafuvu bangi nk watumie fursa sio ? Yakupasa utambue Kuwa hapo kuna mkanganyiko mkubwa yapaswa patizamwe kwa jicho la Tatu kwani pamekuwa shamba la rushwa

kubambikia m2 kesi nayo ni kazi?duh!
 
Labda alimsikia pinda bungeni' au maneno aliosema pm hayana maana?
 
Nyie wote mi nawaona kama mburula fulani hv,Kama una ndugu yako ambae ni askari kamuulize akufafanulie,hao unaowaita wanavaa kaki wanaitwa GENERAL DUTY(GD) hao wanafanya kazi yoyote ile inayojitokeza mbele Yao,tatizo hamna uelewa wa haya mambo mnabaki kubwabwaja tu
Wewe na wenzio wote mnaovaa khaki ndo mamburula kila siku mnapangiwa kazi za kufanya na hakuna anayepangiwa akakae barabarani kuuliza leseni huku kashika bunduki hivi ni kuwa njaa inauma sana na mnaendekeza vijisenti mbuzi ambavyo vinawadhalilisha utu wenu kila siku na adhabu zenu mnapewa kwa kukiuka maelekezo ya kazi mlizopangiwa kufanya lakini mmekuwa butu kichwani kazi zinazojitokeza ziinaulikana lakini sii kukaa barabarani puprosely kuuliza sijui indiketa sijui helmett
 
Mi huwa siwaelewi kwani job description yao Ina waruhusu na kama inawaruhusu Je kuna haja gani ya kuwa na wanaovaa Nguo nyeupe wanapiga dili tu hasa hawa wanaotembea na pikipiki kwqkweli siye waendesha boda boda tukiwaona tunakula kona maana ni vimeo tunahitaji tamko kama ni sawa na kama du sawa tuwe tunawapita tu wakitusimamisha

Huo ni ukaguzi, wewe kama dereva una wasiwsi gani
 
Wewe ndie mburula number one yaani wanafanya kazi yeyote inayojitokeza mbele Yao ?ina Maana hata kubambikia watu kesi kuwekea watu mafuvu bangi nk watumie fursa sio ? Yakupasa utambue Kuwa hapo kuna mkanganyiko mkubwa yapaswa patizamwe kwa jicho la Tatu kwani pamekuwa shamba la rushwa

Wanafanya kazi yoyote inayohusiana na law enforcement,sio kazi hizo za mafuvu au kubambikia watu kesi
 
Back
Top Bottom