Recent content by sasiwa

  1. sasiwa

    Roadmap2023 Kwa Vijana: Wapuuze Wanawake yaani Usiwazingatie!

    Mimi nimekuelewa mkuu[emoji120]
  2. sasiwa

    Weka Picha kali toka kwa simu yako

    Gari imegonga mti lkn mti haujaanguka na ilikua speed kubwa ukitazama vzur utaona had ingini imetoka Unaitwa mti wa ajabu Rufiji
  3. sasiwa

    Nahitaji Mbegu Bora za papai aina ya Carina

    Wadau nahitaji mbegu bora za papai aina ya Carina na mwenye kuzijua vizuri anipe ujuzi namna ya kuandaa Miche na huduma zake hadi kuvuna. Shamba ni ekari moja na nusu.
  4. sasiwa

    Majaliwa: Mheshimiwa Rais, Hongera umeapa vizuri

    Hahahaha umenikumbusha Iyunga tech sec school
  5. sasiwa

    Ex amerudi kwangu

    Wenye huruma hawana bahati Jichunge
  6. sasiwa

    Wadau wa mchezo wa draft, Leo Kuna mpambano wa kukata na shoka Ronaldo vs Noel

    Kuna jamaa anaitwa KANAVARO huku kwetu anatisha balaa mwenyewe anadai hao akina RONALDO,MAMGWERERE ye anacheza nao na wanafungana tu yaan ktk top5 ya taifa naye yupo na kwavile sijawahi muona akifungwa Mimi naamini Sasa nyie munaowajua Mafundi wa MCHEZO huu je huyu jamaa munamjua?
  7. sasiwa

    GE2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020

    Nasubiri matokeo ya Jimbo la Rufiji tafadhari naomba muangazie na huko mtuletee kwa wakati
  8. sasiwa

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Eti ucomment chchote ili upate likes Sawa bana umefanikiwa kupata comments nyingi hongera kwa ubunifu wewe Ni jini
  9. sasiwa

    Msaada: Nimuambie mke wangu kama nina mtoto nje ya ndoa?

    Hahahaha kitanda hakizai haramu weye Sent using Jamii Forums mobile app
  10. sasiwa

    Ushauri wa haraka: Mpenzi wangu anaolewa

    Huyo sio mpenzi wako huyo ni mpenzi wa huyo anayemuoa jiangalie ..... Sent using Jamii Forums mobile app
  11. sasiwa

    Msaada: Nimuambie mke wangu kama nina mtoto nje ya ndoa?

    Ni vyema ukamwambia mimi mwenzako bado kdg initokee puani kwa sabab ya hyo hof na kungoja hadi ajue mwenyewe, yaan ktk kitu ambacho mwanamke hapend ni kuanza kusikia kwa watu jambo ambalo ww umefanya kwa kwa sabab wanaofikisha huongoza chumvi mno, Nikusimulie kilichotokea kwangu Wife kasikia...
  12. sasiwa

    Hili draft la Dalmax la Google Play limenishinda aisee, hii app ina mchezo mkubwa sana

    Ww upo wap mabingwa tupo rufiji pwani ikwiriri Sent using Jamii Forums mobile app
  13. sasiwa

    Unaweza kudate na EX wa rafiki yako?

    Ase kuna mwana amenishangaza sana demu wamchizi tena wakat yupo kwenye mahusiano na huyo rafiki yetu alikua anadirki kusema huyu demu mi simpend malaya kwel yaan ananiboa kweli jamaa akaja akaachana na yule demu kwa mauogomv yao mengine tu, Mshikaj si akaanza kupiga yule demu tena kafungia ndani...
  14. sasiwa

    Nahitaji Boyfriend toka JF awe na Sifa hizi

    Mimi nlikua natafuta mke mwenye jina hilo la khadija na alhamdulillah nina sifa za kuwa mumeo
Back
Top Bottom