Recent content by Sashel

  1. Sashel

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Kauli ya Rais 'Nimewasamehe kwa kuchagua upinzani'. Je, ni kosa kuchagua chama pinzani?

    heheh.. kwakweli until then
  2. Sashel

    JamiiForums Tanzania Video: Rais Magufuli Ampigia Simu Neema Mwita wambura, Ampeleka Hospitali

    I wish kama siku ile ningekuwa under substance angalau ningesingizia ulevi.
  3. Sashel

    JamiiForums Tanzania Israel yaishutumu Marekani kwa kupanga kura dhidi yake

    ooh..na Tanzania liliundwa kwaajili ya maslahi ya nani?
  4. Sashel

    JamiiForums Tanzania Jamii mbili za viumbe wenye akili ulimwenguni

    Y Roho zidanganyazo zipo kazin. Aliowamention hapo ni malaika walioasi na hao pamoja na majitu ambao ni uzao wa wana wa Mungu na binti za wanadamu. Hizo zote ni mamlaka tofautitofauti za giza na hazijahusika na uumbaji wa mwanadam bali nia yao ni kuangamiza humans. Kuna mama mmoja dolores...
  5. Sashel

    JamiiForums Tanzania Dogo Jembe: Usilete Udini na Dharau, Tanzania Siyo ya Baba'ko!

    Ahahahaha.. ghadhabu ikakushukia, pole sana. Ila ujumbe alipata.
  6. Sashel

    JamiiForums Tanzania Je, unamjua Masamaki anayekaa Pugu Kajiungeni?

    Ahahahaha.. Umenifanya nicheke kwa nguvu. Hela ya ufisadi ni unafanya fasta fasta bora jengo lisimame.
  7. Sashel

    JamiiForums Tanzania January Makamba, hizi picha unamaanisha nini? Makubwa!

    Nilivyo elewa mie ni kwamba: 1: anateketeza nyenzo zikizotumika kumfikisha alipo. 2: japo anadhani yy ni mtu ila ana mkia na hawezi kuficha iyo reality. 3:majority ya wanaomzunguka ni wachafu kama nguruwe, sasa mlango umefunguliwa ili achague nguruwe wa kufanya nae kazi. Dah..all...
  8. Sashel

    JamiiForums Tanzania Tibaigana: Nchi inahitaji Rais dikteta

    Ivi umesoma ulichoandika? Sasa kama watu ndio wanatengeneza mfumo iweje tena akipambana na watu mfumo ubakie the same? Watu ndio hujenga/ kubomoa taasisi.
  9. Sashel

    JamiiForums Tanzania Tibaigana: Nchi inahitaji Rais dikteta

    Umesema tatizo ni mfumo, ndio huo ambao rais anaufumua sasa au mfumo ulidhani ni sehemu au machine fulan? Mfumo ni Hao watu walivyojipanga ktk kadhulumu mali ya umma, so ww kama umeguswa na hii operation kajipange upya, it's a new dawn and new Era
  10. Sashel

    JamiiForums Tanzania Tibaigana: Nchi inahitaji Rais dikteta

    You have said it very well. Wanaolalamika ni vile walikuwa wananufaika na huu uozo
  11. Sashel

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli acha kumdhalilisha Kikwete

    Kwakweli umenichekesha ktk suala la steel wire. Ila ni ukweli kabisa.
  12. Sashel

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji watu imara au taasisi imara?

    Watu imara ndio huunda taasisi imara.not the other way around
  13. Sashel

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Kwakweli Polen sana, msg yako imenitouch, msife moyo tabu yenu naamini itaisha mapema maana Magufuli ni mwajibikaji
  14. Sashel

    JamiiForums Tanzania Kama sio udikteta, Mhe. Rais futilia mbali utawala wa sheria, ongoza kwa 'presidential decrees'!

    Bora ww umesema ukweli, magufuli effect inasambaa kama moto wa petrolium..ni kujiandaa kisaikology tu maana hamna namna
  15. Sashel

    JamiiForums Tanzania Kwanini sikubaliani na alichokisema Rais Magufuli kuhusu Jumuia ya Madola

    Kwakweli magufuli effect imempata..hahah
Back
Top Bottom