TataMadiba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 9,866
- 5,742
TZ ina watu milioni zaidi ya 45 na kuna watu wengi wenye matatizo kama hayo kinachotakiwa ni mpango/program maalum siyo cheap sympath kama hiyo na msululu wa vyombo vya habari kwa ajili ya sifa ya mtu mmoja.Huyu ndo rais wa wanyoge bhana!!!
Fikra za watanzania ni duni sanaHuyu ndo rais wa wanyoge bhana!!!
Karibu tujifunze...!
Siku nyingine mkipata nafasi ya kuchagua kiongozi mnatakiwa muwe sober ili kutokumpa mtu majukumu ambayo yapo nje ya uwezo wake.
Tutafakari........!Tunahitaji Hospitali zenye all facilities siyo kudanganywa na vijisenti.
Mnajenga uwanja wa ndege Chato usio na faida lakini hospitali zetu hazina chochote ndiyo mnadanganyia watu masikini Leo??
Hakika bila Elimu Watanzania tutaendelea kuwa masikini.
Utakuwa bado unaishi kwenu wewe siyo bure.Wakati mwingine tuwe watu wa kushuru rais kafanya kile tulichotumwa na mungu tupendane tunaishi kwa uweza wake