Recent content by sarawati

  1. S

    Movie gani ya kipelelezi unaikubali kuliko zote hadi kesho?

    mission impossible rogue mission
  2. S

    Arusha: Wingi wa bendera sio ushidi kwa CCM

    kwan ccm wanapga kampen arushaa??kwann hizo ela za kampen zisisaidiee mambo mengne ya kichamaa
  3. S

    Msaada wa maswali yanayo ulizwa interview za NMB

    maswal yao ni ya kupima IQ yako zaid....hesabu zipo za kawaidaa mnooo.....juaa mambo ya kupata interest na vitu km hvyoi
  4. S

    Bank ya NMB kunani na pesa zangu?

    Nenda tawi lolote lililokaribu na ww ...omba bank statement itaonyeshaaa jins acc yako ilivyokuaa inafanyiwaa transactions.....utajuaa na naamin watakupa maelezoo mazuri....pesa ya mteja huwa haipotei bank....
  5. S

    GE2015 Magufuli aliongea na Mh. Waziri Kigoda akiwa ICU!

    HIV umejibu hivyo ukiwa unajua ni vigezo gan humfanya mgonjwa kupelekwa ICU...au umeandkaa ili mrad uonekane na ww upo ...
  6. S

    Wapi kwa Tanzania wanalipwa mishahara mirefu?

    Mi nazan ubunge ndio unalipwa vzur
  7. S

    John Mnyika kupata pigo jimbo la Kibamba

    katka,watu ambao mnajisumbua,kuwawekea watu wa kushindana,nao ni mnyikaa.....
  8. S

    Vigogo wanaotuhumiwa kumiliki Tangold wahojiwa TAKUKURU

    I believe there are more to come.....
  9. S

    GE2015 Napendekeza: Wassira apimane ubavu na Easter Bulaya jimbo la Bunda

    Acheni porojoo....ester aliingia kwenye kura ya maoni ..kura zake hazikutoshaa..mnataka aachiwe tuu bila kufuata utaratibu wa chamaa...nenden ccm huko ndio mnapoachiana kwa kwa,kupeana milungulaa....
  10. S

    Maoni ya J. Mtatiro: Akina Butiku si wakweli kuhusu Lowassa

    Kwanza kabisa heshima yako MH MTATIRO...nimemsikiliza kwa umakini sana mzee wetu BUTIKU na kijana POLE POLE,mimi sikujisumbua kwa maswali yote hayoo ila ni kwann siku zote maana nijuavyo mimi mtandao ndani ya CCM haujaanza leo au jana..mzeee BUTIKU angetakiwa aanzee kukemea tokea kipindi hicho...
  11. S

    Mzee Mtei na Kingunge kuleta ukombozi kupitia Lowassa, CHADEMA na UKAWA

    Ukawa itashinda bila lowasa km ikiwezekana bila cuf...
  12. S

    Njama za CCM kumuweka Kizuizini Lowassa zaiva!

    mbona unajiteteaa sanaaa...
  13. S

    Zitto Kabwe ndani ya kipindi cha Clouds360 saa 3:30 usiku

    Zito Kabwe katika kipindi cha 360 clouds anasema kwa mara ya kwanza wabunge wa upinzani wamefanya maamuzi sahihi kususia miswada ya gesi kupitishwa kwa hati ya dharura...
  14. S

    Majibu ya Mh Sugu juu ya alichokisema Mbunge Mlata jana bungeni

    Kwa wabunge wengi wa ccm sishangai....kwenye bunge la katiba nilimsikia mbunge mmoja kutoka zanzibar kupitia ccm akimwambia Jussa hana mke mpk pale alipofikia...hiyoo sijashangaaa ni kawaidaaa......no matter nchi wameifikisha hapa ilipoo...
  15. S

    Picha: Mbuge mtarajiwa wa Iringa! Msingwa ajipange oct!

    Hiv wengine bila ku post kituu huwa mnashindwa kupumua...huyoo ni mgombea wa ubunge viti maalum kupitia CCM mbeya..sasa inaingilianaje na Iringa kwa msigwa...
Back
Top Bottom