Picha: Mbuge mtarajiwa wa Iringa! Msingwa ajipange oct!

Picha: Mbuge mtarajiwa wa Iringa! Msingwa ajipange oct!

Status
Not open for further replies.

Jambazi

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Posts
16,654
Reaction score
18,805
11649210_839505652808427_350522180_o.jpg
 
Watu wajinga sana, kwenye picha tu kuna maelezo ya viti maalumu, hafu mleta mada anasema ujinga. Sijui Msigwa naye ni viti maalumu

Halafu mgombea mwenyewe anagombea Mbeya, Msigwa ni Iringa, yaani majitu mengine yanajipostia tu bila hata kutafakari!!
 
Hiv wengine bila ku post kituu huwa mnashindwa kupumua...huyoo ni mgombea wa ubunge viti maalum kupitia CCM mbeya..sasa inaingilianaje na Iringa kwa msigwa...
 
Hiv wengine bila ku post kituu huwa mnashindwa kupumua...huyoo ni mgombea wa ubunge viti maalum kupitia CCM mbeya..sasa inaingilianaje na Iringa kwa msigwa...
Usishangae sana ndiyo matokeo ya BRN hayo.....
 
Huyu Binti ni walewale aliimba Jose Chamilione. Vitoto vikimaliza chuo tu vikiona vina vutia basi vina jua viti maalumu vitapata. kama hawakupata kwa Mzee wa Safari basi tena
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom