Recent content by SARAWAT

  1. S

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri leo Arusha - Picha na video

    Safi sana mkuu kwa picha
  2. S

    JamiiForums Tanzania Symbion Power acquires DOWANS Power plant

    Kesho yake ****** atakwambia hawajui
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu ya CHADEMA Kukutana Kesho Kupitisha Wagombea BAVICHA

    naipenda nchi yangu, nachukia ufisadi, mungu tupeni hekima na Busara ,Heche is the right candidate, wanamuogopa ndo maana wanatumia pesa.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu ya CHADEMA Kukutana Kesho Kupitisha Wagombea BAVICHA

    Mr. Buberwa inaonekana unachuki binafsi na Heche, mimi sijalazimisha mtu yoyote ampigie Kura Heche, nimeelezea ninavyomfahamu, make kuna kundi la watu wamekuwa wakimchafua Bwana Heche. Akili yako ni fupi kama mkia wa mbuzi, inaelekea walimu wako walipata shida sana. Acha mambo ya kitoto...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu ya CHADEMA Kukutana Kesho Kupitisha Wagombea BAVICHA

    jamani wana Chadema, watakopiga kura. Mimi binafsi namuunga John heche, kwa sababu zifuatazo: 1. Nimesoma naye, namafhamu tabia yake. 2. ana msimamo, Akisoma SAUT, aliwaongoza wanafunzi kudai haki zao, kama mikopo. 3. Ni mwanzilishi wa Tawi la SAUT{CHADEMA} mwanza, na amekuwa mweneyekiti pale...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Falsafa ya CHADEMA nguvu ya "umma" na wabunge wao 23

    kapate kikombe cha babu kwanza, Ruzuku ya CCM inasaidiaje nchi?milioni 800 kila mwezi, siwanaliapana mishara tu, acha ujinga , unamtindio wa ubongo wewe
  7. S

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Njama za kuivuruga CHADEMA kamwe hazitafanikiwa...

    nampongeza zitto kama ameamua kurudi kundini, make alikuwa anaelekea shimoni. marafiki zake akina rostam wamepigwa chini, sasa ameshtuka. Zitto hakuwahi hata siku moja kumsema vibaya Rostam, anayebisha alete ushaidi. Sasa ndg yangu zito, nakupa ushauri wa bure 1. achana na tamaa ya pesa za...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Koo linaniwasha

    nashukuru sana mkuu, inawezekana ikawa allergy, nitajaribu kufanya allergy test,
  9. S

    JamiiForums Tanzania Hasira za Wazanzibar kuchoshwa na Muungano

    wadau, hivi Tanganyika inapata faida gani kutoka zanzibar? huwa sipati jibu
  10. S

    JamiiForums Tanzania Fisadi kutimkia ulaya

    source please!
  11. S

    JamiiForums Tanzania Koo linaniwasha

    Doctors, naomba msaada. Nina miezi kama minne nimekuwa nikisumbuliwa koo linalowasha kama mtu anayekaribia kupata mafua au kikoozi. mwanzoni hizi zilikuwa dalili za mafua au kikoozi kwangua. Tatizo la sasa nimetumia antibiotics nyingi lakini sipati nafuu, zinatuliza tu ana baada ya siku mbili...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kuwashwa mwili mara kwa mara- Fahamu chanzo, pata ushauri na tiba ya tatizo hili

    Hata mie natatizo kama hili, naona ni reaction ya maji kwa mwili, nina miaka mingi zaidi ya kumi. Ukimaliza kuoga jipake mafuta haraka hutasikia miwasho, imenisaidia sana. Usifadhaike tupo wengi wenye tatizo hilo
  13. S

    JamiiForums Tanzania Msaada

    Acha story za Abunwasi, yaani wana janvi nilikuwa nawaona great thinkers, hata kwa hili mwashindwa ona kabisa. Hayo yanaweza kaa siku tatu kama watu wamejamiana, na ni ndani ya mwanamke, siyo kwenye sink la kuogea. hilo jamaa analosema ni uongo mkubwa, impossible under this earth
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mwanza bwana!

    Asante mkuu kwa kunikumbusha, niliwahi fikiria hilio. Tatizo ni viongozi wetu. Sababu za kukua kwa kasi mji wa DSM, ni kushindwa kuweka magawanyo sawa wa huduma za jamii. Angalia, kanda ya ziwa hakuna hata university yoyote ya serikali, ukiachilia SAUT na Tumain branch Bukoba. Ili upate elimu ya...
  15. S

    JamiiForums Tanzania AXIS OF EVIL: TANESCO/Mkono Advocates/Rex Attorneys/IPTL/Richmond/Dowans

    Ndugu, sina la kusema
Back
Top Bottom