Fisadi kutimkia ulaya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fisadi kutimkia ulaya

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jackbauer, Apr 23, 2011.

 1. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #1
  Apr 23, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Siku chache baada ya ccm kutangazia wanachama wake ambao wamekua wakitajwa kuhusika na vitendo vya ufisadi kwamba wanatakiwa kujiuzulu nafasi zao za chama katika muda wa siku tisini,kuna habari kwamba mmoja wao amepanga kuihama nchi.
  Mwanachama huyo ambaye amewahi kushikilia nafasi kwenye ngazi mbalimbali za chama hicho,amepanga kutoroka nchini ili kuepuka hatua zilizopangwa kuchukuliwa na ccm dhidi yake na wengine wanaotuhumiwa ambazo anahisi zitamzalilisha.
  Kada huyo ambaye amesakamwa kwa muda mrefu kuhusika na kashfa mbalimbali za usanyaji wa fedha za kodi za wananchi kiasi cha kusababisha serikali ya rais kikwete kushambuliwa,anaelezwa kuingiwa na hofu kwamba hatua ilipofikia hawezi tena kuendelea kuishi kwa raha humu nchini kutokana na kunyooshewa kidole na watu kila anapopita.kada huyo ambaye ni mfanyabiashara amegundua pia kwamba kwa hali ilivyo hawezi kuendelea kufanya biashara kwa utulivu humu nchini na hivyo kuamua kuchukua uamuzi wa kuhama lakini amepanga kufanya hivyo baada ya kuivuruga ccm na kisha kutimkia nchi ambayo bado anafanya siri kubwa.

  Source:gazeti la sauti huru
   
 2. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #2
  Apr 23, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  pumbafu
   
 3. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #3
  Apr 23, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Ahamie wapi wakati keshazoea free lunch bongo? Teh Teh
  Huyu mtu ni kumtia umarehem kabla hajatorosha pesa za wavujajasho!
   
 4. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #4
  Apr 23, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  pumbaf nini?
   
 5. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #5
  Apr 23, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  nimejaribu kuisoma hii habari nimeshindwa kujua exctly wanamuongelea nani kati ya R.a na E.l
   
 6. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #6
  Apr 23, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Nadhani wanamwongelea mfanyibiashara (R.a)
   
 7. S

  SARAWAT Member

  #7
  Apr 23, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 38
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  source please!
   
 8. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #8
  Apr 23, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  mya dear rachel!
   
 9. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #9
  Apr 23, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hu ni uzushi tu 'Rais' wa ukweli aende wapi ?
   
 10. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #10
  Apr 23, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  RA kaka, huyu mtu hafai!
   
 11. Sita Sita

  Sita Sita JF-Expert Member

  #11
  Apr 23, 2011
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 1,197
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Akishaondoka watasema hawajui alipo then atakufa kiutatanishi (Kumbuka yaliyomtokea Balali)

  Historia Inajirudia hapa
   
 12. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #12
  Apr 23, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Inasemekana tayari kada huyu ametanguliza familia yake kwenye nchi hiyo aliyopanga kuishi na kuanza maisha mapya.
   
 13. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #13
  Apr 23, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Inasemekana tayari kada huyu ametanguliza familia yake kwenye nchi hiyo aliyopanga kuishi na kuanza maisha mapya.
   
 14. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #14
  Apr 23, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  duu....
   
 15. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #15
  Apr 23, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hapo moja kwa moja wanamuongelea RA huyu mwingine hana ujanja huo huyo ni hapahapa tu
   
 16. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #16
  Apr 23, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  si ndo mwenye uraia wa nchi mbili huyu?
   
 17. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #17
  Apr 24, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Sio mbili tu mkuu huyu anazo raia za kutosha, ila wa bongo ni wa kuchumia tu!!
   
 18. Mazingira

  Mazingira JF-Expert Member

  #18
  Apr 24, 2011
  Joined: May 31, 2009
  Messages: 1,837
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Kama ni kweli atakuwa RA maana inasemekana kuwa hata wakati suala la Richmond kipindi kile limepamba moto alihamishia familia yake Kanada. Huyu si ndo ana uraia wa nchi tatu?
   
 19. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #19
  Apr 24, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  sasa wabongo walioshirikiana nae tumbo joto!wakati mwenzao anakwea pipa sisi tunakufa nao we subiri tu!
   
 20. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #20
  Apr 24, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Sidanganyiki kitoto!
   
Loading...