Koo linaniwasha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Koo linaniwasha

Discussion in 'JF Doctor' started by SARAWAT, Apr 23, 2011.

 1. S

  SARAWAT Member

  #1
  Apr 23, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 38
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Doctors, naomba msaada. Nina miezi kama minne nimekuwa nikisumbuliwa koo linalowasha kama mtu anayekaribia kupata mafua au kikoozi. mwanzoni hizi zilikuwa dalili za mafua au kikoozi kwangua. Tatizo la sasa nimetumia antibiotics nyingi lakini sipati nafuu, zinatuliza tu ana baada ya siku mbili hali inajirudia, na siku nyingine napiga chafya mpaka macho na masikio yaniniuma. Nifanyeke niweze kuondoa tatizo? very urgent please.
   
 2. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #2
  Apr 23, 2011
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Jaribu kucheck UTI
   
 3. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #3
  Apr 26, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  UTI ni maambukizi ya njia ya mkojo (urinary tract infection)...sa inahusiana vipi na koo?! Maelezo yako yanarandana kabisa na 'allergy'. Kuna kitu kwenye hewa (perfume, mafuta, sabuni, vumbi, pollen, etc) ambacho una allergy nacho, unapokivuta kwenye hewa basi airway inareact na kukusababishia huo muwasho, chafya, mafua etc.

  Antibiotics haziwezi kukusaidi katika tatizo lako, kwa sababu huna bacterial infection...labda unaweza pata bacterial infection days baada ya hiyo reaction. Sikushauri uendelee kutumia antibitics.

  Nenda hospitali kafanye 'allergy test', itakupa idea vitu gani unareact navyo..kisha uviepuke. Na unapopata reaction unahitaji dawa za jamii ya 'anti-histamine' ambazo zenyewe husimamisha hiyo reaction. Nenda kwa daktari kwa ajili ya alergy test na ushauri zaidi.
   
 4. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #4
  Apr 26, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  pole sana man
   
 5. S

  SARAWAT Member

  #5
  Apr 27, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 38
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nashukuru sana mkuu, inawezekana ikawa allergy, nitajaribu kufanya allergy test,
   
 6. N

  NZURI PESA JF-Expert Member

  #6
  Apr 27, 2011
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 4,034
  Likes Received: 1,248
  Trophy Points: 280
  Ndugu pole sana.hiyo ni serious case,nenda hospitali ya serikali kitengo cha kifua kikuu na ukoma n mweleze daktari wa kitengo,atakushaur zaidi vipimo vya kupima kikiwemo na hiko cha mzio.usipoteze muda mwenzio yalinikuta kwa pacha wangu ndo kisa hata nikaamua kusomea UDKT kwa faida ya wengi.
   
 7. L

  Lady JF-Expert Member

  #7
  Apr 28, 2011
  Joined: Apr 12, 2010
  Messages: 280
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Mimi pia nikuwa na tatizo hilo, nikaenda hospitali, nikakutwa na allergy ya vitu mbalimbali, after treatment na kuacha vitu fulani, sasa naendelea vizuri.
   
Loading...