Recent content by Saraffina

  1. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuache unafiki tuseme ukweli tu, mke mwenza akifariki utalia?

    Sio wanawake tu mfani live kwa wanaume Ivandon alivyofariki diamond alijinengu ukumbini it's two way traffic
  2. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

    [Mambo]
  3. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania warembo wa Tanga wanaosifiwa kimapenzi ni wa aina gani?? nisaidieni jamani

    The problem is mind set. Unaenda kwa matarajio. Ila ungeenda bila nakuja nakitu kichwani huenda ungepata unachokipata. Vilevile ukipata mchaga ambao wengi wanasema hawajui mapenzi unaweza ukute ndo wenyewe
  4. S

    JamiiForums Tanzania Nini maoni yenu juu ya internet ya Halotel?

    Bigup mko vizuri mitandao mingiine inaibia wateja. I love halotel. Pia kwa wanachuo mko vizuri
  5. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake ving'ang'anizi

    Endeleeni kuchezea watoto wawatu. Nanyie watoto wenu watachezewa
  6. S

    JamiiForums Tanzania Picha: Donald Trump aliigiza filamu ya Home Alone

    Haahah Lost in NEW YORK. Nilikua cjagundua
  7. S

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe na Wema Sepetu ndani ya penzi zito

    I can agree ni sauti ya Wema ila hiyo nyingine sio ya mbowe.
  8. S

    JamiiForums Tanzania I need a boyfriend

    Hahahahaha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Wajinga ndowaliwao au Usikute kakutosa mkuu. Mwache abahatishe
  9. S

    JamiiForums Tanzania I need a boyfriend

    Kwanini unasema hivyo labda she's serious or let's hear the other side of the coin. Usuwakatishe tama
  10. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uwezo mdogo wa kufikiri kwa wanaume

    Wanaume ma senior bachelor povu linawatoka oweni acheni uzinzi.
  11. S

    JamiiForums Tanzania I need a boyfriend

    If I were you sio lazima awe na degree. Mi mme wangu nimepita mbali ki elimu japo nimkubwa kwangu six years. Ila ananipenda ananieshimu sana kila kitu lazima anishilikishe maana anajua IQ inasoma. Imradi mpendanne. Alaf katika research yangu ndogo kwa marafiki zangu nimegundua kama wote wasomi...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Agnes Mkandya, DED Gairo ni nani?

    Nimesoma kule kwa MANGE KIMAMBI. Kaweka data zake zote na sababu yakupewa uDED. Mdomo koma [emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40]
  13. S

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe na Wema Sepetu ndani ya penzi zito

    Huyu sio Mbowe. Imetengenezwa
Back
Top Bottom