Nini maoni yenu juu ya internet ya Halotel?

Internet ya Halotel haina nguvu nje ya mji ila wako vizuri mjini na MB zao haziishi haraka kama za voda. Voda ni tatizo kwa kweli. Airtel mwanzoni walikua vyema sana na nina moderm yao hadi leo. Baada ya kulewa sifa wakajisahau na huduma yao ya internet ndo mbovu kuliko kwa sasa. Tigo sijawahi kuwajaribu.
 
kuna watu wanakosea setting ndo mana inakuwa slow setting yako hakikisha unaweka hivi
name b_internet
APN internet
APN type default
pasword 1111
Asante sana we mjamaa! Nilikuwa nakaribia kutupa line ya halotel. Nimeweka hizo settings imekua poa sana! Umeokoa jahazi kwa kweli.
 
Wadau wa mitandao, hasa wale mnaotumia mtandao wa halotel mna maoni gani kuhusu ubora wa huduma za internet za hii kampuni, maana maeneo mengine imekuwa ni kero kwa kweli, je wadau wateja mlioko maeneo mbalimbali mnaonaje huko kwenu huduma za hawa jamaa(internet),
Hawa Halotel wamekuwa wasenge sana, niko Pugu hapa mtandao unazingua kinoma, yaani wanaboa aisee, tigo nao ndo wapuuzi wa kwanza, yaani mpaka unatamani uhame nchi
 
Hawa Halotel wamekuwa wasenge sana, niko Pugu hapa mtandao unazingua kinoma, yaani wanaboa aisee, tigo nao ndo wapuuzi wa kwanza, yaani mpaka unatamani uhame nchi
MKUU BLESSED INABIDI HAWA WAPUUZI TUFIKE NAO MWISHO SASA, HAIWEZEKANI WAJIFANYE WANATUPA HUDUMA KUMBE WANATUTIA HASARA:
HASARA YA KWANZA NI MUDA, wanapokupa mb za internet wewe umewapa hela lakini badara yake wewe unasubirishwa muda mrefu kusubiria internet yao ilete data, Je hiyo sio hasara ya muda, Je ingekuwa fasta si ungemaliza kusoma data zako ukaenda kufanya mambo mengine pengine hata ya kiuchumi! Hawa watu ni mashetani kabisa ,waliotumwa kutuua kiuchumi iwapo hatutastuka, ni hasara kwa mtu mmojammoja na jumla yake ni hasara kama taifa zima, tusiwachekee, bali tuwachenjie tu!
Huu ni wizi kama ule wa makinikia tu!
 
Hawa Halotel wamekuwa wasenge sana, niko Pugu hapa mtandao unazingua kinoma, yaani wanaboa aisee, tigo nao ndo wapuuzi wa kwanza, yaani mpaka unatamani uhame nchi
Kinachotokea huko mkuu ndio nnachokipata hapa, yaani wiki hii hawa watu sijui wamekuwa mashetani wa namna gani,
 
Asante sana we mjamaa! Nilikuwa nakaribia kutupa line ya halotel. Nimeweka hizo settings imekua poa sana! Umeokoa jahazi kwa kweli.
Nami nimeijaribu imekubali.
Japo jamaa mtandao wao bado haupo vizuri kama mwanzo
 
Wote wanaosifia waulize wako maeneo gani. Halotel sehemu za mjini wako vizuri lakini pembezoni kidogo ni hovyo kabisa. Na kwa wale wanazungu mikoa mbalimbali nchi hii hawawezi kusifia upuuzi wa halotel!
 
Wadau wa mitandao, hasa wale mnaotumia mtandao wa halotel mna maoni gani kuhusu ubora wa huduma za internet za hii kampuni, maana maeneo mengine imekuwa ni kero kwa kweli, je wadau wateja mlioko maeneo mbalimbali mnaonaje huko kwenu huduma za hawa jamaa(internet),
Hawa jamaa walianza vzr sana ktk suala zima la bei na upatikanaji wake internet access ila siku hizi naona wamezidiwa wateja yaani wanashindwa kuendana na kasi iko slow saaaana siku hizi mi nipo ubungo pia kimara ila hadi uende maeneo na maeneo much boring ,nimeanza kujiunga na airtel tena.naona walillewa sifa
 
Back
Top Bottom