Recent content by Sapanda Ileje

  1. Sapanda Ileje

    Licha ya madhaifu yake, Ontario ni mtu mwenye fadhila na shukrani pia

    Safi sana mkuu, meseji nzuri kwetu wote pia
  2. Sapanda Ileje

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Aisee hii kitu nimefundishwa sana chuoni, somo la Macroeconomic na Advanced macroeconomic. Kuna both stock trading na currency trading. Na tangu chuo nimefundishwa currency trading is subject to constant fluctuations that occurs in the minute. But the difference gap of one minute or second is a...
  3. Sapanda Ileje

    Kenya yarusha "Satellite" yake ya kwanza kwenda angani

    Hapo mwisho umekosea, siyo kila wanachofanya Kenya lazima na sisi tufanye. Japo ni jambo jema, ila acha sisi tuendelee kufanya ya kwetu. Ikifika muda, tena kama ikibidi, Tanzania itarusha tu. Nitakuwa na hofu kama tu ni satellite ya Jeshi, ova
  4. Sapanda Ileje

    Jana nimechepuka ili kumkomoa mwanaume niliyenaye

    Popote ulipo mleta mada pokea pole zangu, sijui akili gani umetumia, au busara au hekima. Kwa kweli huyo jamaa aliyekuoa amepata hasara kubwa maishani. Watu wengine mnasikitisha sana, na sijui una ajenda gani moyoni kwa sababu ulichokifanya ni siwezi kutafuta jina baya la kuita. Mungu...
  5. Sapanda Ileje

    Kauli tata za Ndugai Bungeni, ni wazi Ikulu inayumbisha Bunge. Adai wasilaumiwe mawaziri wanaletewa tu; nani analeta?

    Hata kama ana mapungufu, ila leo Kawa mzalendo zaidi, japo kiaina.
  6. Sapanda Ileje

    ATCL kuanza direct flights to Mumbai

    There you go, Watanzania kama kawaida yetu.
  7. Sapanda Ileje

    Wabunge wa Tanzania wajue sio kila jambo linalohusu usalama wa nchi ni la kutolewa ufafanuzi kwa wanasiasa

    Kujadili suala la usalama wa taifa ni kujipotezea muda, kwa always and will always be classified. Usalama wa Taifa wanaweza kuua, kulemaza, ama kufanya lolote linalowezekana ili Nchi iwe salama. Kama ikitokea ndugu yako anajihusisha na masuala yanayohtarisha usalama wa Nchi bola tu mmwonye...
  8. Sapanda Ileje

    Mradi wa mwendokasi(DART) unaelekea kufa

    Acha roho mbaya, hata ikifa haikuongezei kitu, ikiendelea kuwepo hai haikupunguzii kitu.
  9. Sapanda Ileje

    Onyo: Forex trading haina mamlaka ya usimamizi

    Forex as foreign exchange markets kwa Tanzania inasimamiwa na BOT. Lakini online trading haitambuliki Nchini, by the way haihusishi Shilingi ya Tanzania. Hivyo BOT hawashughuliki nayo maana haiathiri Shilingi yetu. Lakini pia hata Nchi zilizo endelea kama US, UK, Australia, Japan n.k watu...
  10. Sapanda Ileje

    Maombi kwa ajili ya Rais wetu mpendwa Dkt John Pombe Magufuli

    Aisee usilidhihaki jina la Mungu,
  11. Sapanda Ileje

    Baada ya Marais wa Korea ya kusini na Kaskazini kukutana K.Kaskazini yajipanga kuangamiza vinu vyake za nyuklia

    Deep down things are very different, by the way ni jambo jema ndugu kupatana.
  12. Sapanda Ileje

    Mpambe ( ADC ) wa sasa wa Rais Dr. Magufuli nimemkubali na namtabiria makubwa mazuri

    Thubutu, umeambiwa anawakilisha jeshi, ukujumlisha cheo chake kijeshi lazima awe na siraha.
  13. Sapanda Ileje

    Leo dolla imepanda dhidi ya shillingi hali ni tete ndugu zangu

    Inakuhusu sana mkuu, hizi vitu ni serious sana, usivichikulie poa
  14. Sapanda Ileje

    Mainjinia wa Tanzania tatizo nini hali kama hii kwa baadhi ya barabara zetu

    Mimi nina nadharia moja, si tofauti sana na mawazo ya wengine hapo juu. Kwanza hii hali hutokea sana maeneo ambayo ni milima. Kwa mfano TZ-ZMBIA high way kuna maeneo ya Mlima nyoka, Mlima wa Simike, Mlima wa iwambi, Mikumi kupandisha pale n.k. Niliwaza na kuona kuwa, sababu kubwa ni uzito...
  15. Sapanda Ileje

    Joseph Selasin, Mbunge wa Rombo, anaandika

    Hii ndio namna nzuri ya kuihoji Serikali, na nadhani Mh. Mbunge ameielewa vizuri sana taarifa ya CAG. Nitasubiri sana kwa hamu majibu ya maswali haya
Back
Top Bottom