Onyo: Forex trading haina mamlaka ya usimamizi

Tatizo baadhi ya wabongo kama nyinyi hampendi watu kutoa mawazo na mitazamo yao. Tukiwaambia ukweli mnatutukana, kutuzushia uwongo au kututishia amani!
Eti wivu wa kike! Nikuone wivu au chuki nakujua wewe? Ndiyo maana wengi mmeharibikiwa sababu ya uwezo mdogo wa kufikiri.
Icho ulichokisema apo nilitakiwa nikiseme mimi kwako ila kwa kua ur blind,... Its too bad you said it,
 
Benki inafanya biashara ya kuuza na kununua foreign currency, lakini si kwa kufanana na forex trading. Mpumbavu utakuwa wewe maana uelewi hilo!!
Ungeelewa japo kirefu cha forex ndo ungejua unabisha nini.

Ila sikushangai maana huo ndo mwisho wako wa kufikiri.

Unadhani biashara ni ile ya kushika makaratasi mkononi.

Endelea na mawazo yako finyu wakati wenzako wanaendelea kujipigia vipato vya ziada
 
Icho ulichokisema apo nilitakiwa nikiseme mimi kwako ila kwa kua ur blind,... Its too bad you said it,
Maneno niliyo andika ulitaka kuyasema!? Dah! Wewe mbona unajichanganya? Utaiweza kweli forex trading kama akili yenyewe yakutegemea mpaka wengine waku prompt to wake up! Lala salama!

U are right too bad i said it before you. Next time, stay awake!
 
Ungeelewa japo kirefu cha forex ndo ungejua unabisha nini.

Ila sikushangai maana huo ndo mwisho wako wa kufikiri.

Unadhani biashara ni ile ya kushika makaratasi mkononi.

Endelea na mawazo yako finyu wakati wenzako wanaendelea kujipigia vipato vya ziada
Wewe binafsi umejipiga kipato kiasi gani? Au unawaongelea wenzangu, wengine na mabroker!!
 
Maneno niliyo andika ulitaka kuyasema!? Dah! Wewe mbona unajichanganya? Utaiweza kweli forex trading kama akili yenyewe yakutegemea mpaka wengine waku prompt to wake up! Lala salama!

U are right too bad i said it before you. Next time, stay awake!
Acha usnitch dogo kweny biashara za watu
 
Acha usnitch dogo kweny biashara za watu
Mkuu uwe unaangalia kwenye dictionary kuhakikisha neno linatumika vipi!
Neno snitch maana yake ni kuiba au informer. Sasa mimi nimemuibia nani kwenye biashara za watu?

Chunga vocabulary yako hasa ukitaka tumia neno la kiingereza. You are better off kutumia lugha yetu ya kienyeji!!
 
Watanzania watu wa ajabu sana. Mleta mada ni kama vile alitoa angalizo, nilitegemea wale wenye mtizamo tofauti na wa mleta mada kujibu hoja vizuri, na kutetea huo mfumo ila wengi wanamechukulia kwa upande wa has zaidi.

Wengine wanahoji kwani mtu akipigwa, inamuhusu kitu gani mleta mada. Kama hizo ndizo hoja basi tusingekuwa na mada humu. Ukweli ni kuwa jambo baya likiwakuta washiriki pia watarudi na kuomba ushauri na msaada humu, hivyo ni jukumu la wanachama humu kutoa tahadhari pale wanapoona inafaa.

Watanzania tujifunze kujibu hoja na kuacha jazba na hasira zisizo na tija.
 
Nyie ndo wale wale. Hebu pita kushoto. Kwani mtu akipata hasara we inakuuma nini
 
Wacha waendelee kuongea..
IMG-20180111-WA0031.jpg
 
  • Thanks
Reactions: 911
Forex as foreign exchange markets kwa Tanzania inasimamiwa na BOT. Lakini online trading haitambuliki Nchini, by the way haihusishi Shilingi ya Tanzania. Hivyo BOT hawashughuliki nayo maana haiathiri Shilingi yetu.

Lakini pia hata Nchi zilizo endelea kama US, UK, Australia, Japan n.k watu wanapata faida na wengine wanaunguza. Unapounguza account yako haimaanishi broker ndio kachukua, hapana! Brocker anapata tu sehemu ya hasara unayopata. Kwa kawaida zile hela zinaingia kwenye virtual Market na kuongeza mzunguko huko.

Ikiwa kama biashara zingine risk management ndio msingi, hamna namna yoyote ile nyingine. Ukiwa na capital ya dola 500-1000 kwa bongo na pia ukawa risk manager mzuri. Hata kama wewe ni average trader utafanya vizuri.

Goodluck kwa watakaoanza kutrade, risk management is everything, avoid greedy at every cost.

Regards
 
Back
Top Bottom