Mradi wa mwendokasi(DART) unaelekea kufa

Hahahaha usinivunje mbavu aisee! Leo asubuhi saa kumi na moja na nusu nimepanda mwendokasi tumebanana mpaka balaa! Kuna mdada alikuwa nyuma yangu na ni mfupi kwangu, yaani rangi yake ya mdomoni yote amenifutia kwenye sare yangu ya kazini! Huu usafiri una changamoto sana
Hahaaaaaaaaa mi nilidhani jamaa ananitania kumbe khali ni mbaya sana? Poleni sana
 
Kwetu kila kitu kinafail View attachment 765799
Mimi Ushirombo kuna haja ya kuyatafakari sana hayo maneno yako. Ni manne tu lakini ndiyo ukweli. Why ? Kila mradi unaanzishwa na Wazungu, wakimaliza kutukabidhi tu ndani ya mwaka kila kitu kinaanza kuparaganyika. Kuna wakati huwa nafikiri tuna akili za kuku, kwa kuwa hata ukimpa gunia la mchele na yeye yuko peke yake kitu cha kwanza ni kuumwaga chini!. Mifano ni mingi TANESCO, TAZARA, TRC NA SASA UDART!
 
Title ni DART ila maudhuii ni UDART, bado hata wananchi hawajajua huu mradi na wadau wake.
 
huo mradi nauchukia mnooo manina "" badala yakuja kuwanufaisha raia cha ajabu ndio umeleta kero kwao "" raia wana nyanyasika mnoo"" wakati pesa nizao wenyewe" mtu anakaa kituoni dkka 40 nzima hajapanda bus "" na zikija zinapitiliza moja kwa moja hazipakii hata mtu
 
Mimi Ushirombo kuna haja ya kuyatafakari sana hayo maneno yako. Ni manne tu lakini ndiyo ukweli. Why ? Kila mradi unaanzishwa na Wazungu, wakimaliza kutukabidhi tu ndani ya mwaka kila kitu kinaanza kuparaganyika. Kuna wakati huwa nafikiri tuna akili za kuku, kwa kuwa hata ukimpa gunia la mchele na yeye yuko peke yake kitu cha kwanza ni kuumwaga chini!. Mifano ni mingi TANESCO, TAZARA, TRC NA SASA UDART!
Umesahau Miradi ya National Food coperation.! NAFCO...!

MBALALI RICE FARM MBEYA.

Nadhani haikuchukua hata miaka 10 baada ya kuondoka wazungu nayo ikafa.
Japo ardhi ilikuwepo na miundo mbinu ipo..

KAPUNGA RICE PROJECT. MBEYA
pia huenda haikufika hata miaka mitano baada ya Wazungu kuondoka nayo kifo cha mende. Chali.
Mashamba yapo.
Maji yapo na miundo mbinu ipo..!!
Ila.shirika limekufa.

NAMTUMBO MAIZE PROJECT. RUVUMA
Baada ya warusi kuondoka sidhani hata kama lilichukua miaka Kumi nalo Chali kifo cha mende.
Ardhi ipo miundo mbinu ipo lakini waliipoondoka warusi nalo likafa.

MAGAMBA MAIZE PROJECT MBOZI MBEYA.
walipokuwepo wazungu lilikuwa shamba bora wakizalisha maindi ya kutosha. !!
Wakiwa na mashamba na mitambo madhubuti.
Baada ya wazungu kuondoka shamba nalo ndio kikawa kifo chake.! Leo hakuna kitu

MBOZI COFFEE FARM MBEYA.
ukitembelea maeneo yalipokuwapo yale mashamba yalikuwa yanalimwa kahawa enzi zile wakiwepo wazungu na kilichobaki sasa hivi unaweza ukalia
Ukailaani hii ngozi nyeusi kuliko kiumbe kingine chochote kile hapa duniani.

Kulikuwa NG'AMBA COFFEE FARM,
hili shamba na nyumba yake baadae ilichukuliwa na General Mboma.!
Shamba lilikuwa na kila kitu lilikuwa na mashamba ya kahawa na mashine ya kukoboa kahawa mbichi kubwa factory.!

Leo ukienda pale machozi yatakutoka kama una roho nyepesi yamebakia mahame ile miundo mbinu hakuna hata mmoja.!

Kulikuwa

IHANDA COFFEE FARM MBOZI.
leo hii hakuna kinachoonekana hata mabaki ya matofali yaliyotumika kujenga nyumba na maghala ya kuhifadhia kahawa hayaonekani .
Sembuse mabati. Siku hizi ni mashamba ya wenyeji wanalima mahindi kwa msimu.

Kulikuwa na
TUKUMBI COFFEE FARM MBOZI..
Kwangu hili lilikuwa shamba bora likiwa na nyumba nzuri ya kipekee.
Na miundo mbinu iliyokamilika ya kukoboa kahawa kukausha na maghala ya kuhifadhi kahawa.!
Leo hii kuna baadhi ya matofali ya kuhesabu na sakafu yanayoonesha kuliwahi kuwa na nyumbaa maeneo hayo labda na ile miti ya kizungu (Jacaranda tree) waliyoshindwa kuikata na kupasua mbao.

SHIWANDA COFFEE FARM.MBOZI

hili kidogo lina uhai mmiliki kwa sasa nasikia Anaitwa Mwakyusa afisa Usalama mstaafu.! Ukienda hapa kidogo unaweza kupata uhalisia wa kile ambacho huenda hawa wazungu walikiacha hapa kwetu na sisi tukawaonesha kuwa ni wapuuzi kiasi gani.

Ajabu niliyowahi ishuhudia katika hii miradi ..

Meneja aliyetoka kuua mradi (shamba) moja alikuwa anahamishiwa kwenye shamba jipya na hilo nalo lilikuwa halichukui.muda lazima life.!

Nimeyataja haya machache lakini nadhani Nafco walikuwa na mashamba Mengi zaidi ya haya enzi za Mwalimu Nyerere.. 1977........ 1985.!

Tuliokulia mashamba ya Nafco kama tupo humu tukutane kushare kumbukumbu na uzoefu wetu.
 
Title ni DART ila maudhuii ni UDART, bado hata wananchi hawajajua huu mradi na wadau wake.
inawezekana nimechanganya kati ya dart na udart ila huyu mfanyakazi alikuwa na sare ya udart vingine vyote ni sahihi.
 
Leo nikiwa naelekea muhimbili mmoja wa wafanyakazi wa udart alikuwa anaelezea machungu yake kutokana na dhuluma wanayofanyiwa. takribani wafanyakazi 52 wamesimamishwa kazi bila kulipwa mishahara ya miezi mitatu wanaambiwa kampuni haina pesa. mikataba yao ilitakiwa kuisha june ila mwezi huu wamepewa barua kuwa wasiende kazini kampuni haina cha kuwalipa.

wafanyakazi wote kasoro mmoja wamegoma kupokea barua ya kusimamishwa kazi mpaka wapewe haki yao huyu mmoja kapokea sababu hakuwa na mkataba. kwa sasa kesi iko kwa mkuu wa wilaya kwa usuluhishi na udart wameahidi kulipa hadi tarehe 16 ila kuna za chini chini hata hiyo tarehe hawawezi lipa sababu hawana pesa.

maswali yangu ni kwanini kampuni inajiendesha kwa hasara na abiria ni wengi kituoni, je 650 haitoshi kama nauli, je wanatumia gharama kubwa kulipia facilities za mradi, je walikopa sana kama uwekezaji hivo wanalipa riba ya mabasi yaliopaki hayatembei, au ni upigaji tu wa watanzania.

karibuni wadau wa mwendokasi.
ndugu, wee anza sasa maandalizi ya kutafuta nchi nyingine ya kuishi miaka 5-10 toka sasa.

why?

by then - baada ya blunders kibao chini ya awamu hii - Watanzania tutakuwa tunaishi kama Wahabeshi (Ethiopians)!
 
Tunalazimisha biashara tuzizoziweza
Wapo wanaojua biashara tangu karne na karne
Biashara ni kuzalisha faida na sio mradi tu eti ni biashara tumeianzisha
Tutafeli sana katika haya
Biashara ya transport zote. Nina maana barabara, angani na majini ni ngumu sana kuiona faida kama akili ya ziada haijatumika
Yetu macho
Mi kilio changu ni kwa Mungu tu juu ya hili Taifa kwa kweli atusaidie,
 
Tunalazimisha biashara tuzizoziweza
Wapo wanaojua biashara tangu karne na karne
Biashara ni kuzalisha faida na sio mradi tu eti ni biashara tumeianzisha
Tutafeli sana katika haya
Biashara ya transport zote. Nina maana barabara, angani na majini ni ngumu sana kuiona faida kama akili ya ziada haijatumika
Yetu macho
Tatizo wanapenda sifa
 
Mungu hapendi uzembe ndio katupa akili ya kupanga mambo na kusimamia..
na si kulilia Eti Mungu tusaidie
 
Tanzania tanzania nchi yenye mali nyingiiiii...nakupenda kwa moyo woteeeeeee...............Ndio kilichobaki
 
Leo nikiwa naelekea muhimbili mmoja wa wafanyakazi wa udart alikuwa anaelezea machungu yake kutokana na dhuluma wanayofanyiwa. takribani wafanyakazi 52 wamesimamishwa kazi bila kulipwa mishahara ya miezi mitatu wanaambiwa kampuni haina pesa. mikataba yao ilitakiwa kuisha june ila mwezi huu wamepewa barua kuwa wasiende kazini kampuni haina cha kuwalipa.

wafanyakazi wote kasoro mmoja wamegoma kupokea barua ya kusimamishwa kazi mpaka wapewe haki yao huyu mmoja kapokea sababu hakuwa na mkataba. kwa sasa kesi iko kwa mkuu wa wilaya kwa usuluhishi na udart wameahidi kulipa hadi tarehe 16 ila kuna za chini chini hata hiyo tarehe hawawezi lipa sababu hawana pesa.

maswali yangu ni kwanini kampuni inajiendesha kwa hasara na abiria ni wengi kituoni, je 650 haitoshi kama nauli, je wanatumia gharama kubwa kulipia facilities za mradi, je walikopa sana kama uwekezaji hivo wanalipa riba ya mabasi yaliopaki hayatembei, au ni upigaji tu wa watanzania.

karibuni wadau wa mwendokasi.
Ukishaona mfumo wa Malipo ya elektroniki umepigwa vita na zengwe mpaka umekufa sasa ni mwendo wa cash basis ujue tabia ya asili ya mswahili imerudi, wizi juu ya wizi....haiwezekani uruhusu pesa kupokelewa kama njugu uone mafanikio. Hapo pesa ni nusu mfukoni nusu kampuni. Duniani kote watu Wanafight e-systems wao wanapiga zengwe
 
Umesahau Miradi ya National Food coperation.! NAFCO...!

MBALALI RICE FARM MBEYA.

Nadhani haikuchukua hata miaka 10 baada ya kuondoka wazungu nayo ikafa.
Japo ardhi ilikuwepo na miundo mbinu ipo..

KAPUNGA RICE PROJECT. MBEYA
pia huenda haikufika hata miaka mitano baada ya Wazungu kuondoka nayo kifo cha mende. Chali.
Mashamba yapo.
Maji yapo na miundo mbinu ipo..!!
Ila.shirika limekufa.

NAMTUMBO MAIZE PROJECT. RUVUMA
Baada ya warusi kuondoka sidhani hata kama lilichukua miaka Kumi nalo Chali kifo cha mende.
Ardhi ipo miundo mbinu ipo lakini waliipoondoka warusi nalo likafa.

MAGAMBA MAIZE PROJECT MBOZI MBEYA.
walipokuwepo wazungu lilikuwa shamba bora wakizalisha maindi ya kutosha. !!
Wakiwa na mashamba na mitambo madhubuti.
Baada ya wazungu kuondoka shamba nalo ndio kikawa kifo chake.! Leo hakuna kitu

MBOZI COFFEE FARM MBEYA.
ukitembelea maeneo yalipokuwapo yale mashamba yalikuwa yanalimwa kahawa enzi zile wakiwepo wazungu na kilichobaki sasa hivi unaweza ukalia
Ukailaani hii ngozi nyeusi kuliko kiumbe kingine chochote kile hapa duniani.

Kulikuwa NG'AMBA COFFEE FARM,
hili shamba na nyumba yake baadae ilichukuliwa na General Mboma.!
Shamba lilikuwa na kila kitu lilikuwa na mashamba ya kahawa na mashine ya kukoboa kahawa mbichi kubwa factory.!

Leo ukienda pale machozi yatakutoka kama una roho nyepesi yamebakia mahame ile miundo mbinu hakuna hata mmoja.!

Kulikuwa

IHANDA COFFEE FARM MBOZI.
leo hii hakuna kinachoonekana hata mabaki ya matofali yaliyotumika kujenga nyumba na maghala ya kuhifadhia kahawa hayaonekani .
Sembuse mabati. Siku hizi ni mashamba ya wenyeji wanalima mahindi kwa msimu.

Kulikuwa na
TUKUMBI COFFEE FARM MBOZI..
Kwangu hili lilikuwa shamba bora likiwa na nyumba nzuri ya kipekee.
Na miundo mbinu iliyokamilika ya kukoboa kahawa kukausha na maghala ya kuhifadhi kahawa.!
Leo hii kuna baadhi ya matofali ya kuhesabu na sakafu yanayoonesha kuliwahi kuwa na nyumbaa maeneo hayo labda na ile miti ya kizungu (Jacaranda tree) waliyoshindwa kuikata na kupasua mbao.

SHIWANDA COFFEE FARM.MBOZI

hili kidogo lina uhai mmiliki kwa sasa nasikia Anaitwa Mwakyusa afisa Usalama mstaafu.! Ukienda hapa kidogo unaweza kupata uhalisia wa kile ambacho huenda hawa wazungu walikiacha hapa kwetu na sisi tukawaonesha kuwa ni wapuuzi kiasi gani.

Ajabu niliyowahi ishuhudia katika hii miradi ..

Meneja aliyetoka kuua mradi (shamba) moja alikuwa anahamishiwa kwenye shamba jipya na hilo nalo lilikuwa halichukui.muda lazima life.!

Nimeyataja haya machache lakini nadhani Nafco walikuwa na mashamba Mengi zaidi ya haya enzi za Mwalimu Nyerere.. 1977........ 1985.!

Tuliokulia mashamba ya Nafco kama tupo humu tukutane kushare kumbukumbu na uzoefu wetu.
duh hatari kabisa hii mwendokasi ikibaki na mikononi mwetu mwakani daladala zitaanza pita tena kwenye njia ya mwendokasi
 
Umeyasahau mashamba ya ngano Basotu. Walivyoondoka wakanada miaka mitano haikuisha. Sasa Barbaig wanataka wapewe Ardhi yao walishie mifugo.
 
Back
Top Bottom