Tatizoni watumishi waliowengi wajinga na kupelekea kuwaamini Sana wanasiasa. Binafi najua mwanasiasa ni mtu mpumbavu sana kwakuwa ni wadanganyifu mno[emoji27][emoji27][emoji27][emoji27][emoji27]
Sent using Jamii Forums mobile app
Pia Kuna wazazi wengine ni wahovyo mno hasa Kama huyu amekazania kuwa mwanae aandikiwe notes ubaoni Kama zamani [emoji44][emoji44][emoji44] ewe mzazi Kila zamanankitabu chake tangu wewe unasoma Hadi Leo mambo yanaenda mbio Sana,
Kama hutaki mwanao auziwe hizo notes jitahidi umnunulie mwanao...
Nilituma laki mbili kwa watu wa kukopesha fedha taslimu ama dhamana ya kukopesha milioni mbili ile tu nimeituma hiyo lakimbili nikablkiwa kwenye kundi la Facebook na kwenye namba ya simu niliyowasiliana nao ndipo nikapata akili kuwa nimetapeliwa.
Dedication.
Wale wanaosema tunakopesha fedha...
Habari! Nataka kujua ule mpago wa mabenki nchini Tanzania kutamiwa kupunguza riba za mikopo umefikia wapi kwa anaye just tafadhar, au ndio zilikuwa ni siasa za wakuu wa nchi wa mwananchi was tabaka la chini[emoji847][emoji847][emoji847]
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani maisha yamekuwa ghali Sana,
Jalibu kuangazia bidhaa muhimu ambazo hazihusiani mojakwamoja na Vita vya Russia na Ukraine, mfano
-mafuta ya kupikia
- unga wa sembe
-vifaa vya UJENZI
Haya ni baadhi ya Mambo yanayopandikiza chuki ya wananchi dhidi ya mkuu wa nchi,ambapo mkuu wa nchi anaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.