Bila kupambn kupig kelel hamtapat mm na baadhi ya jamaa zangu tulikuwa tunatimb chuo apo veta dsm kila wiki but Glory to God adi leseni nimeipata Leo hii
Sent from my Infinix X665B using JamiiForums mobile app
Hii ni changamoto kubwa sana hususan TRA samora ni kero sana yani vishoka wanakuwa wengi kuliko wateja, mamlaka husika ingeangalia ili swala, na baadhi ya watu wanapigwa sana....
Sent from my Infinix X665B using JamiiForums mobile app
Yah na kabla ya kozi test ni basi LA tata abiria 45 ukifaul test ndio unalipa Ada kusoma, ila pia kufeli kupo
Sent from my Infinix X665B using JamiiForums mobile app
Bora NIT kaka hakuna vipengere na Ada yao iko chini vyeti mapema tu, uku unasugua sana imagine miez zaid ya 3 hama zaid bila kazi
Sent from my Infinix X665B using JamiiForums mobile app
Kiongozi waliomaliza mwezi wa 1 ndio wamepata vyeti mwezi huu, bora NIT hata gharama ziko chin kuliko pale na vyeti vinawai
Sent from my Infinix X665B using JamiiForums mobile app
Hii ndio hali ilivyo kwa kozi ya PSV veta changombe, kozi ni ya wiki mbili, utasubili cheti zaid ya miez 3 kiufupi utakwama hii ni changamoto na inaumiza mno.
Sent from my Infinix X665B using JamiiForums mobile app
Baada ya malalamiko mengi ya wahitimu wa kozi ya udereva wa PSV, tangu mwezi 1 veta walikuj na hii taarifa Katie picha chakushangaza , watu wamefik makao makuu veta Chang'ombe taarifa walizotoa bado haijulikan lin wanatoa vyeti hii ni changamoto kubwa.
Iyo pesa inaingia Kenya account yako ya bolt unawez kuiacha kulipia makato ya bolt hama kuitoa ingawa kuitoa makato meng mfano, umelipwa 10000 u kuitoa kujazia kweny no ya simu yako wanakata 2000 then ukiitoa kweny simu kuja cash inakuwa kama 7000 hama 6500
Utaratibu wa chuo cha ufundi Veta Chang'ombe, hasa kwenye fani ya udereva ni changamoto sana, watu wamemaliza masomo wiki mbili kwenye fani ya udereva wa mabasi, wanakaa zaidi ya miezi kusubiri vyeti na driving licence, hao watu wana familia na driving licence ndio ajira yao wanaishi vipi?
Sent...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.