Vishoka kero TRA

Vishoka kero TRA

santana6060

Member
Joined
Apr 9, 2022
Posts
22
Reaction score
14
Hii ni changamoto kubwa sana hususan TRA samora ni kero sana yani vishoka wanakuwa wengi kuliko wateja, mamlaka husika ingeangalia ili swala, na baadhi ya watu wanapigwa sana....

Sent from my Infinix X665B using JamiiForums mobile app
 
I
 

Attachments

  • images.jpeg
    images.jpeg
    20.9 KB · Views: 20
Hivi wamerudi tena,nakumbuka pale Longroom zamani,unadakwa na mtu nadhifu tokea nje utafikiri ni mkurugenzi wa TRA kumbe kishoka...
 
Unaweza kupata usaidizi wa haraka sana kutoka kwa vishoka,
kuliko wewe mwenyewe kufuatilia.
Sasa chagua mwenyewe.
 
Mkuu vishoka wanasaidia sana pale samola tena narudia tena wanasaidia, ukitaka kujua wanasaidia uwe na inshu ya kubadili kadi ya gari, uone mlolongo wake ila ukiwatumia vishoka asubuhi jioni una kadi Yako.
 
Back
Top Bottom