VETA Chang'ombe utaratibu mbovu wa vyeti

santana6060

Member
Apr 9, 2022
14
10
Utaratibu wa chuo cha ufundi Veta Chang'ombe, hasa kwenye fani ya udereva ni changamoto sana, watu wamemaliza masomo wiki mbili kwenye fani ya udereva wa mabasi, wanakaa zaidi ya miezi kusubiri vyeti na driving licence, hao watu wana familia na driving licence ndio ajira yao wanaishi vipi?

Sent from my Infinix X665B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom