habari zenu,naombeni msaada nna printer ya hp (black n white) ,nikifungua file za pdf hii priner haionekani/haisomi,nimeupdate adobe,nimeinstall printer online lkn bado ,plz help:sick:
mm nakumbuka nkiwa 11 nliambiwa nipike uji ,Unga nliouweka ni shidah kila nikikoroga uji unazid kuwa mzito yani kama ugali nlichofanya haraka haraka nlipunguza nkamwagia mbali afu uliobakia kidogo nkaongeza maji sana basi ukarudi normal,,ni shidahh
:laugh:
wanaume nao wanahusika pia ,maana wanawake hawawezi jitoa bikra wenyewe,so nanyinyi pia muachage hizo tabia za kutaka kudokoa msosi kabla ya kuingia mezani,,,na ulimwengu wa leo cyo wa zamani kila kitu kinabadilika.:cool2:
kama huyo man anacare na ana hela za kutosha ts okey.anacare means that anajua kuwa daily unashinda home so mara moja moja akutoe na ww outing ,cyo unashinda home jan to december!:A S-confused1:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.