Mwanaume yeyote ambaye hajawahi kufanya mapenzi,
Ngozi ya uume wake kwenye kichwa chake huwa ni nyekundu kiasi tofauti na zile nyingine ambazo experienced san huwa zina vichwa vyeusi.
Ni kama mwiko tu, mwiko ambao umezoea sana kuingia chunguni, utaugundua kwa rangi yake, na mwiko ambao ni mgeni chunguni pia utaujua tu kwa rangi yake tu!
Halafu pia, mwanaume yeyote ambaye ni bikra utamgundua kwa kutokuwa mtulivu anapokutana na mwanamke hasa hasa pale anapovuliwa nguo! Majanga huanzia hapo! hawezi jua aanzie wapi...! Utakuta wengine wakiguswa tu na mwanamke hufikia hatua ya kuruka kwa ule mtekenyo wa either vidole ama joto!
Mbona ni rahisi sana...
Lack of confidence napo linapokuja suala la kuzungumza ama kutazama na mwanamke, nako majanga huanzia hapo, kijana yeyote ambaye katimiza 18+ hajaonanana na mwanamke kimwili, km kweli ni mzima, basi ni lazima tatizo hili limkute tu!
Done--- Bachuta!