Recent content by Sanjaboy

  1. S

    JamiiForums Tanzania Rupia: Hazina ya Mjerumani

    Duh nimefatilia sana hii thread no body knows where the actual market is especially in Tanzania or east africa in general ama kweli ni utapeli mimi ninazo rupie zaidi ya moja ila sharti langu unaehitaji nitafute usibip na kama vp nitakuelekeza nilipo
  2. S

    JamiiForums Tanzania Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?

    jaman msaada please imepita miezi sita toka niachane kimapenz na mdada mmoja ambaye alikua mtu wang sabab aliniomba tuachane ili apate wa kumuoa kweli nilifanya hivo Mung si athuman yule bint akapata mchumba baada ya mwez tu kuachana na alikua ananiambia hawajawah sex na mtu wake mpaka ndoa mara...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?

    jaman msaada please imepita miezi sita toka niachane kimapenz na mdada mmoja ambaye alikua mtu wang sabab aliniomba tuachane ili apate wa kumuoa kweli nilifanya hivo Mung si athuman yule bint akapata mchumba baada ya mwez tu kuachana na alikua ananiambia hawajawah sex na mtu wake mpaka ndoa mara...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuwa Wakala wa benki. Mfano NMB na CRDB

    tupeni unono
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mchumba wangu kaenda chuo cha polisi

    kuoa askar yataka moyo lazima uwe mjanja kumiliki kaenda kufundishwa ujasir neno msen*g kwake yeye litakuwa kawaida kutamka na mengne meng na usitegemee kumuendesha utakavyo
  6. S

    JamiiForums Tanzania Mchumba wangu kaenda chuo cha polisi

    nakuunga mkono man cha msing atafute mwingne wa kuzugia na wala asimshobokee huyo afande mpaka demu atapoamua mwenyewe kumtafuta askar wa kike wanamatatzo xana kama kakupenda atakuheshm kama katimiza wajib wa kuolewa atakusumbua vingnevyo atakudharau
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kutoka uwanja wa Taifa: Mechi ya Tanzania vs Nigeria leo tarehe 05/09/2015

    Game Bado Tu?
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kutoka uwanja wa Taifa: Mechi ya Tanzania vs Nigeria leo tarehe 05/09/2015

    Matumain Yapo
  9. S

    JamiiForums Tanzania Lengo la dini ni nini?

    Dini Ni Mwendelezo Wa Ku Mtune Binadamu Aendane Na Nature Ya Ulimwengu
  10. S

    JamiiForums Tanzania Wiki ya kwanza ya mwezi Septemba, UKAWA watapatwa na mtikisiko Mkubwa sana ambao haujawahi kutokea

    Hahahaha Chezea Ccm Weye Hao Ndo Wazee Wa Fitna Jakaya Aliwaambia Lowasa Anakuja Kuwavurugia Chama Na Umoja Mkazingua Ngoja Mtafutane Hahahahahaha
  11. S

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wasomi au wenye kipato kizuri hawadumu kwenye mahusiano!

    Matatizo Na Sababu Za Kutokuolewa Kwa Mwanamke Msomi Na Mwenye Kipato Zinatofautiana Mwenye Kipato Hajasoma Mara Nyingi Na Weng Wao Kuolewa Ni Ngumu Huwa Anahisi Hakuna Mwanaume Wa Kumbabaisha Kama Pesa Anazo Due To Low Understanding Anahisi Mwanaume Atampenda Sabab Ya Vijisent Vyake Ni...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Wanaume tuna kazi tena nzito

    usiwe na haraka mda wake ukifika atakolea tu tena hukupaswa kuuliza why hakupigii jifanye umelizika mpe hela mpigie mara kwa mara atajiongeza tu usipende kumgombeza kwa jambo dogo
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mchumba wangu ana matatitizo ya kizazi hawezi kuzaa, kumuacha namuonea huruma, nifanyeje?

    mwambie akununulie mdoli wa kujifariji
  14. S

    JamiiForums Tanzania Utamjuaje mke mwema?

    so hata akiwa mwizi mlevi anafaa kisa kakupenda?
  15. S

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya wazazi wako na mke wako kujua mshahara wako?

    Mtoa mada acha kiherehere umeona kuhudumia haitoshi unaanza na kuropoka mshahara wazaz au mke wanahtaj msaada na matunzo mengne yako
Back
Top Bottom