Wanawake wengi wasomi au wenye kipato kizuri hawadumu kwenye mahusiano!

hapana la shemeji jumapili huwa nadoea naenda nalo south beach!

gari ni gari tu hata kama la serikali ilimradi sipandi daladala na mashosti na majobles wa kitaa wananiona ukija kuni-pick inatosha kuninenepesha. kwani nani atawaambia kuwa ni la shemeji? watankoma mbona?!
 
kumbe mnajijua eeh! huwa mnawaka hadi na STK.....!!!
 
Mwanaume aliyesoma haweki thamani ya mwanamke kwa mwanaume aliyenaye!!!

She is another human being with unique qualities with lots to offer to society. Shes not a desperate woman waiting for a man to sleep with!!! Hamu zake HAZIKUHUSU. HAKUTAKI!

NDOMANA HAMTAKWI. Mna mawazo finyu. Very close minded.

Mtu anayeshikilia mila na desturi zisizo na msingi HAVUTII kwa mwanamke aliyesoma.

WAACHENI WADADA WA WATU. Kwanza wote mnaomtoa thamani au heshima hamna thamani yoyote kwake pia.
Kwenye uzi huu nimefuatilia michango yako
nimegundua na wewe ni mhanga wa tukio hili sasa hapo penye red tumia neno TUACHENI.
 
Kama huwezi kutumia elimu yako kumshape mtu awe kama utakavyo basi hakuna haja ya kusoma.
Nawafahamu wanawake baadhi wameolewa na wanaume wasio na kipato lakini wote kwa pamoja
wamejitahidi na wametoka,

In this life, do not expect to change someone, kama ilivyongumu kujibadili wewe vivyo hivyo ni ngumu kumbadili mwingine, so yo better accept them competely
 
1. wanawake wasomi wengi wanamaliza hivyo visomo vyao umri ukiwa umeenda hivyo soko lao la kuoleka linakuwa halina Wateja wengi.
2. wanawake wengi wasomi sana (mf. masters na phd).. si warembo wala Si wazuri.
3.Pamoja na mapungufu hapo namba mbili, wanawake wasomi sana ni wabaguzi na wachaguzi mno kwenye suala la nani wa kuwa naye kimahusiano.
Hivyo, wataishia kutoolewa nami nasema wasiolewe tu..maana hatuna namna ya kuwabadilisha mpaka wabadilike wenyewe.

Na hawa tunaowachangia kila siku huwa wanaolewa na kina nani?
 
Matatizo Na Sababu Za Kutokuolewa Kwa Mwanamke Msomi Na Mwenye Kipato Zinatofautiana
Mwenye Kipato Hajasoma Mara Nyingi Na Weng Wao Kuolewa Ni Ngumu Huwa Anahisi Hakuna Mwanaume Wa Kumbabaisha Kama Pesa Anazo Due To Low Understanding Anahisi Mwanaume Atampenda Sabab Ya Vijisent Vyake Ni Wachache Xana Wenye Kipato No Elimu Huolewa Ktk Kundi Hili
Mwanamke Msomi Tena Kubahatika Kusoma Pengine Kwa Shida Akifanikiwa The Same Problem Wanawake Waelewa Ni Wasomi Na Kusoma Kwao Ni Mfumo Tu Ktk Familia Zao Wana Uwezo Mara Nying Hudumu Maana Elimu Kwao Ni Kitu Cha Kawaida As Well Wenye Kipato Cha Kufata Mkondo Frm Their Family Wanaolewa Na Wanadumu Vinginevyo Ni Uzembe Katika Malezi
 
Umesema kweli
 
Acha lugha za kiteenager(kisekondari) herufi zetu za kiswahili hazina X wala Q... uandishi huu ndio unafelisha wadogo zetu mashuleni
 
Me bado msichana lakini maisha ya ndoa hayanivutii kabisaa. siwezi kutimiza expectations za wanatume wa kiTz.

yani nikikosa mume mzungu basi. so acha niwatetee hawa kina dada manake kuna uwezekano nikajoin the club. haha.
Nilikuwa na changaa kwanini jana ulikuwa unanisumbua kumbe unamawazo hayo pole sana. Nakuombea upate mzungu kama unafikiri mzungu si mwanaume
 
Tunahitaji utafiti wa kisayansi ili kuwa na hakika ya majibu yetu. Maana weng humu naona tunatoa mitazamk yetu ili tuonekane kuwa tupo wa kisasa sana.

Mimi siamini kuwa hili jambo ni la kimtazamo pekee. Lakn kuna ukweli ndani yake. Ili tujue huo ukweli katika uhalisia tunahitaj emperical findings.
 
Ukweli Wanawake wengi wasomi (sio wote) ni wagumu kuishi nao...ila ukikubali kila kitu useme ndio na ufanye kazi kama dada wa nyumbani maisha yanakwenda poa tu
Uamuzi ni wako!
 
Wakati wa leo ni mgumu sana kwa generation ya sasa katika maisha ya ndoa,ndoa nyingi zinavunjika kwa sababu ambazo mtoa mada amezitoa,ninayo mifano mingi tu.Cha msingi hapa ni watu wote(ke &me) kuishi kwa hofu ya mungu na kuamini kuwa ujuzi,mali,elimu na vyote vizuri ni mambo ya kupita na ni ya hapa hapa duniani.
 
Hehhe huu uzi nomaaa...wanaume sijui wapewe nini...jiroge ukache elimu afu upate mume asieeleweka utaona kila rangi...kna dada someni muwe na ujuzi na vipato msijibweteke kisa tu uolewe..size yako utampata tuuu...mume mda mwingine anaboaa jmn ht umlambe miguu shukuru Mungu una kazi yako asbh huyooo...u get to go out and see the world... U can still meet ur needs and have freedom wth ur money,.. Mtu anataka akukontroo kila kitu kivipi wkt alikukuta mdada na heshima zake mtu mzima managing ur own life...wanaume somethings zina limits
Mtu anataka akufuje sijui akufungulie saluni sijui kitu gani wkt mtu ur earn six figures...hata ingekua yeye angeweza? Na wengine mtu kwenu maisha ya shida usisome af familia yako watasaidiwa na nani??
Mpende mume mheshimu,penda familia yako sana tuu, make your home,do your part ila have a lifeee bibii... don't be a doormat with yes kwa kila neno Lake,mana mda mwingine mapenzi yanalose flavor ukiwa ass kisser sana
 
Tatizo kubwa wanaume nao hawajiamini kitu kidogo atasema...... Ni Kwa sababu. Japo kina mama nao hujifanya wamstosheka na elimu na mali wakati familia yahitaji kuelewana
 
Back
Top Bottom