Recent content by sanga malua

  1. S

    Lowassa amjibu Kinana huko Pemba!

    sijui kama una maanisha kweli lakini hata wale watu intelligensia naona wameanza kuona upepo unaelekea wapi.
  2. S

    Kwanini CCM watumia nguvu kubwa kupambana na Makapi na Oil Chafu?

    Hiki ni Kiswahili kama cha faizafox! sema ukweli huwa unauma
  3. S

    Jenerali Ulimwengu amponda JK na wanachama wa SAIGON!!

    Hapo umenifurahisha sana na ndio ukweli mtupu.vijiwe ni sehemu watu wanakotolea frustrations zao na ku pass time tu na pengine kufahamiana tu.hakuna mtu asiye na elimu aliyebebwa na kijiwe akabebeka.
  4. S

    Jenerali Ulimwengu amponda JK na wanachama wa SAIGON!!

    Ukweli ni kwamba vijiwe vingi vinakawaida ya kujinasibu kuwa ndivyo vyenye ushawishi wa mambo mengi muhimu yanayoendelea mjini lakini watu mashuhuri ndio wanaovibeba vijiwe hivyo.ni kweli kwamba mwl NYERERE alikipa umaarufu kijiwe hicho na siyo kijiwe kilichompa umaarufu yeye.kifupi ni kwamba...
  5. S

    Basi la sumry mbeya arusha na harufu ya ufisadi

    uwezekano ni mkubwa kwamba walikuwa wanapakia aidha bangi au mchanga wenye dhahabu maana pale mindu kuna wakati watu walikuwa wanachimba dhahabu wakapigwa stop.
  6. S

    Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai (CPA) 21(1,2) na Kamanda Kamuhanda

    mimi naamina jko siku kamhanda atatinga mahakamani na finally atakula miaka yake jela.dunia yote itaimba nyimbo za kumtukuza MUNGU.
  7. S

    Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai (CPA) 21(1,2) na Kamanda Kamuhanda

    yaani kamhanda namchukia kuliko maradhi yote ninayo yafahamu
  8. S

    Nimrod Mkono aitisha CCM

    Aaaaaa ndio inawezekana. hiyo inaitwa zunguka nikuzunguka.
  9. S

    GE2015 Kuelekea 2015: Kama CCM Itamsimamisha Edward Lowassa...

    hivi mbona unaweweseka sana? tulizana
  10. S

    Dr Peter Dalaly Kafumu apata ajali

    kaaa, we mtoto acha balaa
  11. S

    Former TIC Executive Director, Emanuel Ole Naiko

    that is good Governance!!! hapo ujue wazungu waliambiwa yes,yes,yes.yes kwa kila ombi walilompelekea.
  12. S

    Kosa la Mwangosi: Waandishi warudia Makosa

    kalikenye wewe kuanzia leo sitachangia mada zako kwasababu hukumu zako haziendi sambamba na KATIBA YA JMT,Na kumbuka sisi tumeratify articles za umoja wa mataifa ya kutambua na kuzitekeleza kwa hakika haki za msingi za binadamu na kwamba kuishi ni haki ya msingi kwa binadamu.MWANGOSI SIYO TU...
  13. S

    Kosa la Mwangosi: Waandishi warudia Makosa

    umenishangaza sana kwa maoni yako!! for sure you need to go to the class again. kimsingi police hana mamlaka ya kumpiga raia awaye yeyote zaidi ya kumuweka chini ya ulinzi na kumfungulia mashitaka kama ana kosa la kujibu. mwandishi wa habari ni RAIA KWANZA ndio na ndio unafuata uandishi wa...
Back
Top Bottom