Former TIC Executive Director, Emanuel Ole Naiko

Former TIC Executive Director, Emanuel Ole Naiko

Nyerere alijaribu kumgusa mtu anaitwa Tiny Rowlands alikuwa mmiliki wa shirika likiitwa LONRHO. Ulimshinda huo mfupa.

Usicheze na haya mashirika makubwa yanayochangia kwa kiasi kikubwa bajeti za nchi zao, utaumia, ukipenda usipende.

Uliona Symbion ilvyochukuwa mitambo ya Dowans alikuja nani kuitembelea hiyo mitambo? jiulize, ilihusu nini? halafu jiulize tena Mzee Mwanakijiji alikuwa mstari wa mbele kuiponda Dowans, ulimsikia akinyanyua sauti kwa Symbion? na mitambo ndio hiyo hiyo, jiulize kwanini? Hata upinzani hawakuitaja tena.

Cheza na mwenye mali usicheze na mali zake.
Yeah Nyerere alimgusa Tiny Rowland owner wa LONRHO; Ndio Maana walibeba MIZIGO na KUONDOKA walitaka kuishitaki Tanzania.

Hawakuwa Na Uwezo... especially kwenye Tanzania Lybrands na Mashamba ya Kahawa Arusha... na alilazimishwa kuuza PEUGEOT EA HAPO DAR Nadhani unamkumbuka Mkimbizaji Magari Mzungu wa Kitanzania Bert Shankland... alikuwa anafanya kazi hiyo Kampuni aliondoka Tanzania 1988
 
I agree with you 100 percent. This reminds me of George Liundi who was the first Registrar of Political parties. Do you know what he did after retirement? He went and contest for ubunge in CCM.

Hivi, haya yanatokea Tanzania tuuu au na wenzetu wengine ktk Africa hufanya mambo ya kiini macho sampuli hii?
 
Very strange indeed! Sasa hapo si atatumia mapungufu yote alokuwa anayaona TIC kwa faida ya hao jamaa?
Hapo kidogo umepindisha, ingekuwa "atatumia mapungufu aliyoya-design wakati anajiandaa kustaafu TIC kwa faida yake na hao jamaa".
 
Haya mambo hapa nchini yapo kwa wingi sana tena sana tuuu! Kuna wengine hata kiinua mgongo huwa wanijichagulia wachukue nini.

Kuna viwanja hapo mjini vinakaa wazi na majengo pia yakichakaa kwa muda tu mfano former Motel Agip Hotel, (unaweza ongeza sehemu nyingine) Ukijiuliza ni serikali makini kiasi gani inaweza kuachia vitega uchumi katikati ya jiji kama Dar vioze tuu bila hata kujali thamani yake na hasara.

Angalia UDA ilipododa saana, matokeo yake ilikuja bainika kuwa wajanja walikuwa wanainyemelea. Muda si mrefu utakuja sikia hata Shirka la reli linachukuliwa na mwekezaji ambaye mkurugenzi Mkuu aidha ni mmoja wa viongozi wa juu, waziri nk.

Maadili ya uongozi Tanzania hakuna tena, azimio la Zanzibar ndiyo maadili yalikuwa mazikoni.
 
Huyu bwana aliwahi kusema madini ni rasilimali isiyoisha(yani ni kuyawekea mbolea tu yazaliane)hivyo msihofu kuwa wageni watayamaliza.Nafikiri aliambiwa atamke hayo maneno alafu atapewa zawadi.
 
Hujui?
3%2B%25281%2529.JPG

Yeah Nyerere alimgusa Tiny Rowland owner wa LONRHO; Ndio Maana walibeba MIZIGO na KUONDOKA walitaka kuishitaki Tanzania.

Hawakuwa Na Uwezo... especially kwenye Tanzania Lybrands na Mashamba ya Kahawa Arusha... na alilazimishwa kuuza PEUGEOT EA HAPO DAR Nadhani unamkumbuka Mkimbizaji Magari Mzungu wa Kitanzania Bert Shankland... alikuwa anafanya kazi hiyo Kampuni aliondoka Tanzania 1988

Alazimishwe na nani wewe, alilipwa kila kitu alichojidai kuchukuwa Nyerere, tena alisema hageuki nyuma atageuka jiwe, na Tiny alipolazimisha kwa njia zake kurudishiwa mali zake, mitaani tukawa tunajiuliza, vipi kageuka jiwe? Unabii haukutimia.
 
Tanzania expropriated the 19 Lonrho-held companies, most of them tea estates and trading firms dealing in automotive and agricultural products, citing the multinational's continued "meddling" in the politics of Southern Africa. Since the September 1978 expropriation, Lonrho and Tanzania have engaged in acrimonious negotiations over what constitutes fair compensation for the assets. The two sides are reportedly far from a settlement, with Lonrho demanding some $40 million-about eight times what Tanzania is offering.

Soma zaidi: Multinational Monitor, February 1980
 
Wakuu,
I have totally failed to understand how can a public servant of his level end up being a Board Chairman of a private company. Is it that he was favouring them (Barick Gold) that is why they decided to thank him with Board Chairmanship?

Kindly reserve your energy for more important and genuine suprises. We had President who opened a company using The State House physical address as his coy's registered office!

Based on the way this country is being run; don't be surprised to hear worse abuses of power (hata leo)
 
Alazimishwe na nani wewe, alilipwa kila kitu alichojidai kuchukuwa Nyerere, tena alisema hageuki nyuma atageuka jiwe, na Tiny alipolazimisha kwa njia zake kurudishiwa mali zake, mitaani tukawa tunajiuliza, vipi kageuka jiwe? Unabii haukutimia.

Yeah hakuimiliki Tena PEUGEOT EA
 
Yeah hakuimiliki Tena PEUGEOT EA

Peugeout haikuchukuliwa. Aliiuza kwa faida. Uliza mali za Tiny alizochukuwa Nyerere alirudisha hakurudisha? Kama alirudisha au alizilipa ni kwanini na yeye alizitaifisha? Hapo sasa.
 
Wakuu,
Msiwe negative sana Watanzania wenzetu wanapopata vyeo kwenye makampuni binafsi. Kama hakuna sheria ya kuwazuia, wanakuwa hawajafanya makosa yoyote. Huu ndio ubepari wenyewe ambao Tanzania tumeamua kuujenga.

Kwa taarifa tu huyu Ole Naiko alikuwa ndiye CEO wa Buckreef Gold Mine miaka ya 80 mpaka 90. Ni mtu mwenye uzoefu mkubwa kwenye madini.

Hawa jamaa wameona ni potential na kwa kuangalia pia na uzoefu wake kama mkurugenzi wa TIC, makampuni ya biashara kama haya huwa yanakimbilia watu kama hawa mahali popote pale dunia. Kwa kuwahi kuwa mkurugenzi wa TIC tayari anajua players wote kwenye biashara na hivyo kwa kampuni inakuwa advantage kwao.

Pia mwenyekiti wa board ya kampuni sio lazima anavyoteuliwa awe tayari na shares kwenye kampuni. Baada ya kuteuliwa anaweza kupewa shares kama sehemu ya package yake.

Muhimu hapa ni kwamba huyu mtu kastaafu kwenye kazi yake serikalini. kwasasa yuko huru kuomba au kupewa kazi yoyote ile. Unless tuna ushahidi na madudu yake, nafikiri tutakuwa tunamwonea sana tukiamini kafanya makosa kukubali post kwenye kampuni binafsi tena kwenye eneo ambalo ndio kasomea na kufanyia kazi miaka yote.

Ni bora kuwa na Watanzania wenzetu kwenye hayo makampuni kuliko yote kushikwa na Wazungu au wageni wengine.
 
Wakuu,
I have totally failed to understand how can a public servant of his level end up being a Board Chairman of a private company. Is it that he was favouring them (Barick Gold) that is why they decided to thank him with Board Chairmanship?
Mkuu Captain22, as you've said it, (former) he is now retired, so what is a problem?

Yes the mining companies are highly favored because their FDI is very huge! They enjoy the investment incentive provided by the law and the mining act that was passed by our dear parliamentarians, so where does Ole Naiko come along? We have a big team of hate preachers over here, watch out you might be joining the team without your knowledge, a public servant is only a public servant when he is in public office, a retired public servant is no longer a public servant and he deserves the best after his/her retirement!

If you think being a board chairman of ABG is a way of thanks giving from Barrick, what will you say if they'll reveal the names of gold bars presents to the top brass?

If you have anything credible against him, just bring it up, otherwise please stop any unfounded allegations just to create hatred, just leave Ole Naiko Alone!.

Pascal.
 
Peugeout haikuchukuliwa. Aliiuza kwa faida. Uliza mali za Tiny alizochukuwa Nyerere alirudisha hakurudisha? Kama alirudisha au alizilipa ni kwanini na yeye alizitaifisha? Hapo sasa.

Hakuiuza kwa FAIDA... kwasababu Mnunuzi hakuweza kuleta Magari Mapya Tena... Baba yangu alinunua brand new 404 toka pale... baada ya LONRHO

kuondoka aliyenunua kazi kubwa alikuwa anafanya ni service-maintenance ... na Unajua sababu kubwa ni LONRHO kuwa Rhodesia na Mugabe

Kuwa anaishi Masaki... Nakwambia Serikali haikulipa Mashamba aliyokuwa anamiliki
 
Nyerere alijaribu kumgusa mtu anaitwa Tiny Rowlands alikuwa mmiliki wa shirika likiitwa LONRHO. Ulimshinda huo mfupa.

Usicheze na haya mashirika makubwa yanayochangia kwa kiasi kikubwa bajeti za nchi zao, utaumia, ukipenda usipende.

Uliona Symbion ilvyochukuwa mitambo ya Dowans alikuja nani kuitembelea hiyo mitambo? jiulize, ilihusu nini? halafu jiulize tena Mzee Mwanakijiji alikuwa mstari wa mbele kuiponda Dowans, ulimsikia akinyanyua sauti kwa Symbion? na mitambo ndio hiyo hiyo, jiulize kwanini? Hata upinzani hawakuitaja tena.

Cheza na mwenye mali usicheze na mali zake.

When i really need to read rubbish (happens when i want to know how rubbish people can be) i pretty much read yours. Congrats for your rubbish. You are really on top of that list.
 
Wakuu,
I have totally failed to understand how can a public servant of his level end up being a Board Chairman of a private company. Is it that he was favouring them (Barick Gold) that is why they decided to thank him with Board Chairmanship?

that is good Governance!!! hapo ujue wazungu waliambiwa yes,yes,yes.yes kwa kila ombi walilompelekea.
 
wakuu,
i have totally failed to understand how can a public servant of his level end up being a board chairman of a private company. Is it that he was favouring them (barick gold) that is why they decided to thank him with board chairmanship?

only in tanzania
 
Back
Top Bottom