Recent content by sanga kariakoo

  1. sanga kariakoo

    Nafasi ya kazi kwa mtu wa stationary awe vizuri sana

    Anaitajika mwanamke mmoja tu Eneo la kazi ni Kariakoo Mtaa wa aggrey na Ndanda dukani/kwenye kampuni sanga kariakoo Kazi yake ni kutengeneza matangazo madogo madogo na kuendesha account za ofisi ikiwa na application za Sanga Kariakoo zilizo google play na apple store pamoja na website ivyo...
  2. sanga kariakoo

    Kodi ya 1m - 1.5m kwa mwezi, napata frem ya aina gani Kariakoo?

    yap uko sahihi watu wako ndani lakin wanapiga pesa cha msingi ni mbinu zako tu apa kama vitani ujue kila mtu ana mbinu zake
  3. sanga kariakoo

    Kodi ya 1m - 1.5m kwa mwezi, napata frem ya aina gani Kariakoo?

    mimi sio mtaalam wa ivyo ila ayo mambo yapo apa kibao njoo ufanye reseach
  4. sanga kariakoo

    Kodi ya 1m - 1.5m kwa mwezi, napata frem ya aina gani Kariakoo?

    iyo kubwa sana sema cjui plan zako frem ata laki 5 zipo mradi uwe mjanja tu ukiwa ata umejificha vipi na una mtaji watu wanakuja hasa wanaoagiza nje wapo sehem ambazo uwezi amini mm nipo floor ya 2 mtaa wa aggrey na ndanda na mambo yanaenda japo nauza computers na jengo lote compters so jua...
  5. sanga kariakoo

    Ushauri kuhusu Biashara ya Kuuza Computer: Laptop/dektop used

    inategemea na biashara yako mimi mara ya kwanza nilienda na lak 5 na apo nilirudi na desktop 3 complete nikaja dar lkn wakati nauzia geto temeke nikipost mtu akitaka namuuzia 250 so nikaenda mpaka nikafungua duka kariakoo apa ila imenichukua mwaka sasa ndio maana nikasema ni timing yako tu...
  6. sanga kariakoo

    Ushauri kuhusu Biashara ya Kuuza Computer: Laptop/dektop used

    iko ivi kama wewe una roho ndogo uwezi fanya hii biashara mana hasara ni kubwa hata lak 5 kwa siku na pia ina faida kubwa..mzigo kama una pesa za ukoo nenda dubai ila km unaunga unga nenda zanzbar ila unaweza enda zanzbar na usipate mzigo mana lazima uwajue wale wanaotoa mzigo dubai kuja...
  7. sanga kariakoo

    Ninawazo la biashara ya kuuza luninga (TV) na 'Subwoofers'. Niandae mtaji kiasi gani?

    ungekua kariakoo ni rahisi sana ukiwa na ofisi kampuni zote ukipiga simu zinatuma wafanyakazi wanakupa bei zote za jumla yaani rahisi sana mtiani upo kwenye kufanya biashara ikue na kuweza kucheza na soko ndio mtiani watu wanafunga sana maduka uku
  8. sanga kariakoo

    Hadi sasa nimeshatumia 12,000$ kwenye matangazo Instagram (Facebook). Je, Serikali huwa inakusanyaje Income tax kwa hii kampuni?

    boss ukitangaza apa sawa lakn kwenye fb/inst/google amna mtu anekusumbua mana unaweza amua kutangaza au kuzima tangazo yaani wewe ndio controller ndio inatuwia ngumu kutangaza kwa tz mana unaweza pata presha bure na je bei zetu unakuta kubwa sana
  9. sanga kariakoo

    Naomba ushauri wa Desktop kwa ajili ya video graphics and Photo Graphix

    almost sisi huwa atuangalii gen tunaangalia corei ngap tu mana zote bei ni sawa ata kuchukua ila sema za gen kubwa zinawah kuisha na pia refurbished mashine nyingi zinakuja ni gen ya 3 mpka 6 otherwise niwe nimejumulia kwa mtu alietoka dubai direct ila sio wa zenji tunakojumuliua mana dsm...
  10. sanga kariakoo

    Tatizo katika Desktop computer

    labda ajaunga vga au vga mbovu au mashine card mbovu nk...
  11. sanga kariakoo

    Naomba ushauri wa Desktop kwa ajili ya video graphics and Photo Graphix

    lak 5 unapata i5 ya ram 8gb disk 500gb gen 3/4/6 kioo nch 22 mimi ndio nacheza na ayo mavitu ndugu 0714689280 na kuhusu card unaweza ongeza ila ya 1gb ni 60000 nk
  12. sanga kariakoo

    Kuwa agent wa online shopping platform kama KIKUU, JUMIA, etc

    kua wakala halisi mikoa iko ivi ili upewe uwakala inabid uwe na ofisi na leseni ata ya 120,000 kwa mwaka na pia uwe mjanja kweli kuweza kuhakikisha mkoa uliopo unaweza kuweka matangazo watu waone na sio online tu japo ila uwe mtu ulieiva sana mana inakua ndio kazi yako tu...tunatumia ofisi za...
  13. sanga kariakoo

    Nimechukia sana kukosekana kwenye ajira za jana. Nina jazba sana nimekata tamaa

    mimi mwenyewe nimesoma EDUCATION (BAED) english na kiswahili saiv natumia kuangalizia movie tu akuna chochote kile
Back
Top Bottom