Tatizo katika Desktop computer

Tatizo katika Desktop computer

Felixtz

Member
Joined
Oct 19, 2015
Posts
61
Reaction score
30
Habari zenu wanajamvi, nina desktop aina ya dell nlipewa na mtu ila cha ajabu nimeiconnect na tower lakini nikiiwasha inaandika "no signal" afu inajizima yenyewe. Tatizo linaeza kua lipi, msaada tafadhali.
 
Inajizima kwa maana ya "Sleep", tower itakuwa ipo Off na check connections za cables.
 
Kuna taarifa zinafurahisha sana...

Ngoja waje kukupa muongozo...
 
Computer yangu ilizima baada ya umeme kukata, umeme uliporudi nlipowasha monitor haikuwaka tena, nini tatizo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom