Recent content by sandu John

  1. sandu John

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni nini kilikuvutia kwa mpenzi au crush wako wa sasa?

    Sana,,, tunaangalia tabia,.. Kama ni uzuri, atakuwa wa kugegeda na kusepa!! [emoji14][emoji14][emoji14] Sent using Jamii Forums mobile app
  2. sandu John

    JamiiForums Tanzania Kama simu yako ni original chora huu mstari

    __________________
  3. sandu John

    JamiiForums Tanzania Kama simu yako ni original chora huu mstari

    _______________________-
  4. sandu John

    JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza bei ya kuuzia pamba 2018/2019

    Pamba msimu huu imerefuka tu, hakuna kitu, ni mamiti tu.
  5. sandu John

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee: Natamani hali iwe ngumu sana mpaka tukose Bajeti ya Ikulu

    Ukifanya utafiti,!!! Mkuu unaweza jinyonga.
  6. sandu John

    JamiiForums Tanzania Ninahitaji viungo vya kupikia kutoka shambani

    Uko mkoa gani? Mkuu jitambulishe.
  7. sandu John

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee: Natamani hali iwe ngumu sana mpaka tukose Bajeti ya Ikulu

    Wakikosa mishahara, wanapiga kura ya kutokuwa na iman.
  8. sandu John

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kazi na matumizi yake

    Ndio nini mkuu hiyo
  9. sandu John

    JamiiForums Tanzania Habari za kushinda wana jf,

    Leo mweshimiwa yuko karibu na sisi, mtaa fulani hivi, unaitwa nyahanga. Hakuna kukatiza nzi yeyote. Tunamshukuru Mungu kwa Neema leo. Kwa taarifa tu, mtaa wetu una panya rood nyingi mno.
  10. sandu John

    JamiiForums Tanzania Habari za kushinda wana jf,

    Usikae kimya mkuu, uliza kwa nini?
  11. sandu John

    JamiiForums Tanzania Habari za kushinda wana jf,

    Napenda kujipongeza kwa kulala kwa amani leo kupita siku zote. Tuna ulinzi wa maana sana.
  12. sandu John

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli azindua barabara ya Isaka - Ushirombo (Km 132)

    Leo mkulu anajitahid kuongea.!!!!!
  13. sandu John

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Leo chaguzi wa marudio ccm imeshinda kwa kishindo. Majimbo yote matatu.
  14. sandu John

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Taarifa, kuna mgao unaendeleaje mji wa kahama. Naomba tuwasambazie mpaka wajue.
  15. sandu John

    JamiiForums Tanzania Ulevi wa pombe ni hatari kwa afya yako

    Wakuu, mimi nilikula nyama nikazidisha nilihalisha kweli kweli.
Back
Top Bottom