johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Karibu TBC mubashara tufuatilie uzinduzi huu wa barabara ya lami Isaka hadi Ushirombo yenye urefu wa km 132!
Ni utekelezaji wa ilani ya CCM!Naona Leo ni mwendo Wa kuzindua barabara tuu.
Hiyo ya pili anazindua kwa leo
Inazinduliwa!Kwani isaka mpaka ushirombo Hakuna barabara ya lami?
Kiukweli hakuna rais mshamba East Africa Kama Magu.....No ni 45 km
Ameni bore Sana kuonge kilugha cha huko sentences nyingi tuu
[emoji86] [emoji86]Kiukweli hakuna rais mshamba East Africa Kama Magu.....
ushirombo sio Chato?