WEWE FUMBUA MACHO UONE,,,,,mimi ninacho fahamu kuhusu upinzani ni kuisababisha serikali iliyoko madarakani ifanye kazi kwa juhudi,,,hivyo lazima ikosolowe,,,sasa ikifikia hatua upinzani unakosoa hadi mambo mazuri,,,hatua nzuri za kupata uhuru wetu,,, TUTAANZA KUWA NA MASHAKA NA NINYI,,,sioni...