Paulo Dybala afunguka na kusema hivi juu ya Messi "Sio kwamba sipendi kufananishwa ila yeye ni lejendari".

Sol de Mayo

JF-Expert Member
Sep 10, 2016
6,313
5,920
IMG-20170920-WA0000.jpg

Paulo dybala amesema "MESSI amefanya makubwa katika historia ya soka".

Messi ni king na ataendelea kuwa king wa soka,,, ndiomaana hata mchawi mdogo wa Kiargentina a.k.a Dybala amekubali huwezi kumlinganisha na Messi.

Huyu dogo ana akili mnoo,,hiyo itamfanya kuwa player mkubwa sana hapo baadae.

Thank you so much magician Dybala kwa kulijua hilo. Messi iz the king.


Tunakukaribisha next season pale NOU CAMP kwa brother wako.
 
Dogo ameenda shule aisee na ndiye atavaa kiatu cha King messi hapo baadae. sio kama neimar kulalamika muda wote na kugombania kupiga penalt, na kujiona juu.
 
Back
Top Bottom