Naam kaka, hakika kwa namna nilivyofanya utafiti inaonekana ni biashara inayolipa, japo kwa mkoani nilikuwa sijui kama napo inafanya vizuri! Vipi una uzoefu na hii kitu?
Nijidanganye nini
Sawa kaka hakika hapa kuna madini, unaweza ongezea nyama kidogo kiongozi? Maana naona comment nyingi humu ni za kukatishana tamaa na wengi wanaosema hivyo hata hawafanyi hii biashara.
Katika pita-pita zangu nimekutana na vijana wanaouza mishikaki kwa kutumia vitoroli vyenye matairi mawili na jiko la mkaa kwa juu, hapo hapo juu kwa pembeni wanaweka mishikaki iliyochomwa tayari. Wanauza mishkaki ya ng’ombe, maini, figilisi, kuku na soseji, vyote kwa jero jero na mara nyingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.