Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 7,958
- 15,486
Ni mfano tuu unaofanana na hali halisi, hii dunia ukiwa na nia ukaweka akili, time na energy yako hakuna linaloshindikanaNa mpaka leo bado anauza chips kuku, wewe endelea kukenua 😂
Ni mfano tuu unaofanana na hali halisi, hii dunia ukiwa na nia ukaweka akili, time na energy yako hakuna linaloshindikanaNa mpaka leo bado anauza chips kuku, wewe endelea kukenua 😂
Upo sahihi mkuuNi mfano tuu unaofanana na hali halisi, hii dunia ukiwa na nia ukaweka akili, time na energy yako hakuna linaloshindikana
😂😂😂😂😂Motivesheni spika sio....
Haya chukua kitoroli nenda Road........... utalia na kusaga meno ms***ge
😂😂😂😂😂Hao huwa wananunua mbuzi za wizi sometimes huwa wanaiba kabisa