Recent content by Samuel Doe

  1. Samuel Doe

    JamiiForums Tanzania Singasinga wa PAP aelekea Dodoma kuzima wabunge dhidi ya wizi wa 200 Bilion

    unaonekana unae stress sana kwa kichwa chako maana unaongoza kwa kubuni story za kijingajinga na za kichochezi ili kupandikiza chuki kati ya wananchi na serikali Yericko Nyerere
  2. Samuel Doe

    JamiiForums Tanzania Matractors yanapatikana, bei nafuu + mkopo

    Ahsante.. Nitakupigia mkuu nataka nianza ujasiliamali wa kilimo.. Ungeeleza pia na utaratibu wa kukopa trekta, aina za trekta na bei zake tafadhali
  3. Samuel Doe

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Balozi wa Malawi nchini Tanzania afariki ghafla

    M. A. P balozi
  4. Samuel Doe

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete akutana na mfanyabiashara maarufu wa Nigeria, Alhaj Aliko Dangote jijini Abuja

    Ahsante dangote.. Rostam Aziz sijui atakuja kufikia ubilionea wako.. Mungu akulinde
  5. Samuel Doe

    JamiiForums Tanzania Nani mmiriki wa Ngurudoto?

    Acha umbea mtoto wa kiume ukijua then utafanyaje sasa Aya ni yangu mimi sema unataka kuinunua ?
  6. Samuel Doe

    JamiiForums Tanzania Captain Phillips (2013): Filamu ya Tukio la kweli inayokufanya uwajue vizuri Maharamia wa Kisomali

    Ni movie nzuri sana big up kwake
  7. Samuel Doe

    JamiiForums Tanzania Ph.D holders kuongozwa na form 6 failure - Shame on you!

    Chagadema ndio wanaosababisha ongezeko wa division ZERO hapa nchini kwa kuwa viongozi wengi wa cdm ni role models wa vijana waliopo mashuleni hasa wasiojitambua hivyo wanaona kama dj mbowe alipata KIDUARA/ZERO na ni mwenyekiti wa chama taifa hivo na vijana wa shule wanaona hata wakifeli...
  8. Samuel Doe

    JamiiForums Tanzania Katibu wa mbunge Joshua Nassari ajiuzulu

    Hiki chama chao ni genge la wahuni kama magenge mengine tu, wabakaji, mahanithi wengine, wengine sio rizki, wengine majambazi.. R. I. P Chagadema
  9. Samuel Doe

    JamiiForums Tanzania Swali kwa Dr. Kitila, Zitto Kabwe, Mwigamba na Albert Msando

    Acha kuweweseka mchana kweupe wewe Mmeamza kutokwa povu mapemaaaa Safari hii mtakoma cdm KUMBE KWELI MBWA HAJUI UMUHIMU WA MKIA WAKE HADI UKATIKE, NA HAKIKA MTAACHA HARAKATI ZA KIHUNI ZA UKAWA NA MMESHAHAMIA RASMI KUISAKAMA ACT TANZANIA
  10. Samuel Doe

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kikao cha CC ya CCM Jana usiku

    Kweli hizo ni #fununu
  11. Samuel Doe

    JamiiForums Tanzania ACT-Tanzania yapata usajili wa kudumu!

    Chagadema apo kisebusebu na kiroho papo.. Wanatafuta pa kukimbilia ila hawapaoni..
  12. Samuel Doe

    JamiiForums Tanzania Dk. Kitila Mkumbo ajitambulisha rasmi ACT

    R. I. P chadema
  13. Samuel Doe

    JamiiForums Tanzania Mmoja auawa kwa risasi na watu wanaodhaniwa kuwa majambazi - Mataa ya Airport

    namhitaji apa Yericko Nyerere
  14. Samuel Doe

    JamiiForums Tanzania Mmoja auawa kwa risasi na watu wanaodhaniwa kuwa majambazi - Mataa ya Airport

    cc:@Yericko Nyerere cc:@Jason Bourne maana mnajifanya mnajua sana taarifa za ndani sana ambazo nyeti tunaomba mje apa, au ndo mnatunga story
Back
Top Bottom