abakorakamo una ID ngapi?
wewe unazo ngapi? Toa hoja acha utoto we msukule
Last edited by a moderator:
abakorakamo una ID ngapi?
UKAWA ndio habari ya mujini! mpaka moto wa ukawa ufe mjuwe mtakuwa mmeungana na dada yenu ccj. Mna bahati mbaya kuzaliwa kipindi kimoja na ukawa.!!! aaaah aaaah Baada ya kusajiliwa safari ya kaburini hiyoooo!!!!!
Naanza kutilia mashaka umakini wa Msajiri wa vyama vya Siasa Mhe. Judge Mtungi. Inawezekana vipi judge MAKINI asajiri acronym ya ACT kuwa chama cha Siasa Tanzania? Acronym ya ACT is an International registered trade mark ya Atermisinin Combination Therapy (ACT). Waswahili sisi tunaiita DAWA MSETO ya kutibu malaria. Huyu judge Mtungi anahitaji dose ya ACT atakuwa amepata cerebral malaria!

Chris LukosiKaribuni sana
Mjifunze kutoka kwa chadema
Msiwe wakabila, wadini na msiwe na dharau.
Sisi tunalipwa, wacha utani kabisa hii ndiyo kazi yetu kuu. Tuko kule New-Zealand karibu sana uone kazi zetu tuko makini sana.
Hatuna tofauti na Auction Company kama Majembe, Yono.
Wao wakiwa kazini huwa wanasema 'kwa idhini tuliyopewa na mahakama' sasa sisi hatusemi kwa idhini tuliyopewa na CCM hapana tuko kimya kimya hata hapa usimwambie mtu. Kimya.
Chama cha wasaliti hicho, kimeundwa na wenye tamaa ya madaraka