Recent content by Samson Kwayu

  1. S

    JamiiForums Tanzania Mwigulu ni “Magufuli mpya” anayehofiwa na wapigaji

    CCM kete pekee waliyonayo ni huyu jamaa kwasasa, sisi chadema tumuweke Heche wapambane
  2. S

    JamiiForums Tanzania Simiyu: “Dr. Mwigulu ni Magufuli mtupu”

    Mimi ni Chadema na simpendi Madelu matozo lakini kwenye hilo la kusikiliza wananchi na kutatua kero zao hapohapo tutamuunga mkono achukue nchi 2030.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mwigulu hapenyi 2030 — Kuna nini kinawatisha?

    Mange na Maria wametubu dhambi zao
  4. S

    JamiiForums Tanzania U'Magufuli' wa Mwigulu wawaibua Mange, Maria Sarungi na Kigogo

    Usikulizaji wa wanachi ndio utakaompa urais 2030 Mwigulu
  5. S

    JamiiForums Tanzania Namuunga mkono Mwigulu Nchemba, amependekeza jambo lenye uzito mkubwa wa kiheshima na uzalendo, litekelezwe

    NAMUUNGA MKONO MWIGULU NCHEMBA Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, amependekeza jambo lenye uzito mkubwa wa kiheshima, uzalendo, na uhamasishaji wa uwajibikaji wa raia. Wazo lake la kuweka mabango yanayoeleza kuwa miradi imejengwa "kwa hisani ya walipa kodi wa Tanzania" lina mantiki nzuri kwa...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Nampa heko Rais Samia kwa ukusanyaji wa kodi wa kisasa na sera za kodi rafiki, anastahili kupongweza na kila mtu

    Katika kipindi cha miaka minne tu ya uongozi wa Serikali ya Awamu ya Sita, Tanzania imeandika historia mpya ya usimamizi wa mapato ya ndani, mafanikio ambayo yamewezekana kutokana na mwelekeo wa kisera, usimamizi madhubuti na maono ya kiuchumi ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan pamoja na...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amekuza uchumi, viashiria vyote vya msingi vinambeba.

    Katika miaka minne ya uongozi wa Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Tanzania imeonyesha kwa vitendo kwamba uchumi imara si nadharia tu, bali ni matokeo ya maamuzi thabiti, sera zenye mwelekeo, na usimamizi makini wa fedha za umma. Kupitia ushirikiano wake na Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Dkt. Nchemba ahani msiba wa hayati Cleopa Msuya

    Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), amefika kuhani msiba wa aliyekuwa Makamu wa Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Waziri Mkuu Mstaafu, na ambaye pia aliwahi kuwa Waziri wa Fedha na Mipango (1973–1975) na Waziri wa Fedha na Uchumi (1986–1989), Hayati David...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Tutampoteza Nikki wa Pili akiachwa na huyu mwanamke

    Tapeli huyo ana anachojua, kandarasi yake ni kumchafua Madelu.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Fedha zipo, taratibu zipo, tuache propaganda na hisia za kisiasa

    Kama mdau wa uchumi wa maendeleo na uwajibikaji wa matumizi ya fedha za umma, ningependa kuchangia kwa uelewa wa kitaalamu kuhusu hoja ya TZS 1.14 trilioni inayofanyiwa mijadala mingi ya kipropaganda. Kwanza, ni muhimu kufahamu kwamba fedha hizi hazijapotea wala kuibiwa. Zipo salama katika...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Yanayoendelea bungeni kati ya Mwigulu na Tulia ni Vita ya Urais wa 2030

    Imefahamika kuwa Tulia Akson Mwansasu Spika wa bunge, anaendesha genge haramu ndani na nje ya bunge la kuhakikisha wanamkata miguu mapema Mwigulu Nchemba wakimhofia kuwa anaweza kuwa tishio kubwa katika kipute cha ugombea Urais ndani ya CCM mwaka 2030, baada ya Dkt Samia kumaliza muda wake...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kundi hatari la Mafisadi laibuka, haligusiki, lina ulinzi Mkali

    Katika historia ya Tanzania na utumishi wa Umma hakujawahi kuwa na wafanyakazi wawili wala rushwa kama waziri January Makamba na Mkurugenzi wa TANESCO bwana Maharage Chande. Ukiachilia mbali mambo aliyoyasema CAG kwenye ripoti yake na madudu yakiyofanywa na wawili hawa, tumeshuhudia mwishoni...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia Ackson ana "conflict of interest" katika Wizara ya Nishati, mume wake ni bosi wa EWURA

    Leo asubuhi tumeshuhudia jinsi spika wa bunge Dokta Tulia akihaha kuhalalisha kuwa kikanuni akidi (idadi) ya wabunge imetimia na mjadala wa bajeti ya wizara ya nishati itaendelea tu japo kuna wabunge zaidi ya 200 wamesusia mjadala wa wizara ya nishati leo asubuhi. Dr. James Andilile ni mume wa...
Back
Top Bottom