Habari wana jamvi naomba msaada kwa mwenye miracle box flashing tool for pc anisaidie.niko na mahitaji nayo . Telegram or whatsapp 0753064252 au sam4peny@gmail.com
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari, nadhani ni muda mwafaka wa TCRA kuagiza na kuelekezwa makampuni yatakayo huduma za mawasiliano ya simu pamoja na internet kuhakikisha zinatoa kuanzia 3G kila wanapotoa huduma ili kurahisisha kazi na gharama kuliko kuchagua baadhi ya sehemu kubwa na 3G au 4G na kwengine kukubali na low...
Dola 7000 nahisi ni gari mbili tu ndogo za kutembelea za makapuku kama sisi, nakumbuka pia alishajinadi huyu binti kwa mwanaume wa kumuoa aweze kumlipia mahali mamilioni kadhaa....
Nahisi mabinti wa kitanzania mnatakiwa kujitathmini na kuthamini maisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sahihi, wengi wanaweza kula pesa yako na kuiharibu zaidi. Its better umpate ajuaye . If me ningeifungua na kubaini tatizo NDO naenda kwa mtaalam wa hardware
Nahisi huelewi unachokisema hapa au umekosa msamiati sahihi, kifupi huweziongeza uwezo/ukubwa wa SD card. Hiyo memory circuit ishatengenezwa tayari na chapa ity hyo, hizo adds zinazokuja kti CM yako za kutaka uweze "kurefresh" ku clean cache na kumbukumbu zingine zinazofanana na hizo ambayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.