Kufuatia mvua kubwa inayonyesha jijini Dar es Salaam imesababisha hitilafu ya umeme katika Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu.
Hifilafu hiyo imetokea katika chumba kimoja cha Mahakama na kusababisha mlipuko mkubwa ulioambatana na moshi. Inadaiwa chumba hicho kinatumiwa na Jaji Mashauri.
Mlipuko...
Mwaka 2015 Mtulia alipata kura 70,337 huku Idd Azan akipata kura 65,964. Idadi hii ya kura inatengeneza jumla ya wapiga kura wa Chadema na CCM 136,301.
Jana (JUMAmosi) Mtulia kapata kura 30,247 hata nusu ya Kura alizopata 2015 hazijafikia. Huku Salum Mwalimu akiambulia kura 12,353. Jumla ya...
Dah! Stori ya huyo binti inasikitisha sana. Nani atawalinda mabinti hawa na dhuruma za kingono katika umri mdogo.
Mbaya zaidi aliyempa mimba kakimbia. Jamii tuwasaidie hawa wasichana kurejesha matumaini yao na kufikia ndoto zao. Inawezekana kama tutatambua wajibu wetu wa kuwalinda na kuwawekea...
Lazma tubadili namna ya Siasa zetu mapema sana zinataka kupevuka na kupata sura nyingine ambayo hatukuizoea.
#CHADEMA kwa CCM ni kama mtoto alizaliwa, ametambaa, amesimama na sasa anataka kupevuka na kuwa mtu mzima. Namna ya kumlelea mtoto ni tofauti na namna ya kumlelea mtu mzima aliyepevuka...
Tukiendelea kupanda mbegu ya udini tujionea madhara yake siku za usön. Tunamchagua kiongozi kwa uadilifu na uzalendo ktk taifa na sio anatoka dini gani. Mnakuja na hoja ya udini mmelemazwa na ombwe la watawala ambao wanatumia udini kma tiket ya kuingia madarakani. Tubadilike la sivyo...
waziri kujiuzuru ni busara zake lakini hawa wagonjwa wanaoteseka nani atawasaidia, hivi madaktari walipogoma hatukujifunza kitu pamoja na yote hayo tuweke uzalendo mbele. Na sababu nyingine serikali yetu sasa haiaminiki kwa kauli zake ingeonyesha nia ya kutekeleza madai yao naamini hao jamaa...
ushindi wa kishindo ni lazima tayari mzee wa ukweli na uwazi ataongoza jahazi arumeru hatutaki kelele subirini moto wa Mwigulu Nchemba aliye wamaliza kule igunga.
MAneno mengi na kujihakikishia ushindi wakati wameru hawajafanya uamuzi sio vizuri lakini jamma wa sisi em si mnajua tabia zao mtaona kitakachotokea lakini jipeni moyo labda mnaweza kufanikiwa
Tatizo sio watu wenye majina makubwa, imejipinga kisera kuwashawishi wa Meru au maneno tu, uchaguzi tuwaachie wana Arumeru mashariki kwani wao wataamua na kufanya maamuzi. Mbwembwe za JF hazitabadili mambo!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.