Maandamano ya CCM kumsindikiza Sioyi kuchukua fomu LIVE

naona polisi wa ccm wamekaa kimya hakuna cha habari za kiintelejensia wala nini,ingekuwa ni cdm wangemwaga hapo kuzuia
 
CCM maandamano
CHADEMA maandamano
CUF Maandamano

Wagombea ingawa bado tunawekewa kizungumkuti binafsi hatufanyi maandamano, tunawaangalia "wajinga ndio waliwao".
 
Sioi ndo anawasili hapa akiwa anaongozwa na bodabod tayari kuanza maandamano kwenda usa
 
Tupo hapa kikatiti ndo maandamano yanaanzia kumsindikiza Mgombea mteule wa ccm Sioyi Sumary Kuchukua fomu kwa mkurugenzi usa river..updates

unatafuta mitusi ya nguoni na wewe si ujikalie kimya tu
 
Hongereni na maandano.... CHADEMA nao wakiandamana msiwapige virungu tu!!
 
Chupi,kanga,fulana mmeshagawiwa na CCM,na baada ya hapo mnagawiwa wali na maharage,wakati watoto wenu hamuwezi kuwapeleka shule wala lishe bora hamuwezi kuwapa,mmekalia kuwatupia watu watoto wenu wawasomeshee,mtaacha lini kuwang'ang'ania majambazi CCM.
 
Tupo hapa kikatiti ndo maandamano yanaanzia kumsindikiza Mgombea mteule wa ccm Sioyi Sumary Kuchukua fomu kwa mkurugenzi usa river..updates

Kwani sioyi anaishi kikatiti?au Akeri?yaan amekuja na gari mpaka kikatiti ili mtembee kurudi USA-RIVER?ni kuwapotezea watu muda.Jipange kijana
 
Ndo msafara unaondoka,mapikipiki na magari ya kutosha kuelekea usa river ofisini kwa trasias kagenzi,namuona james millya hapa
 
Tupo hapa kikatiti ndo maandamano yanaanzia kumsindikiza Mgombea mteule wa ccm Sioyi Sumary Kuchukua fomu kwa mkurugenzi usa river..updates

Wenye mabasi na maroli wanashangilia mavuno make wamepewa tenda kuchukua watu wilaya zote za arusha wakianzia monduli kwa 'godfather'. Mambo yote siku ya kupiga kura kwani wote hao walioletwa kuandamana hawatakuwa na haki ya kupiga kura ila najua wataletwa tena kuweka zengwe na kufanya fujo tu. Cdm jipangeni kwa hilo.
 
Back
Top Bottom