Recent content by Same ORG

  1. S

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Morogoro Road kuanzia Ubungo kwenda Kimara

    Umewapatia hawa watu ni wajuaji kwenye keyboard tuu.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Morogoro Road kuanzia Ubungo kwenda Kimara

    Hakuna kitu kama hicho cha kuziba labda muanze kungoa vile vyuma vya kuziba takataka mukauze, hii ndio mitaro inayotakiwa kujengwa ambayo inazibwa na sio ile inayojengwa na tanroad ikawa wazi na kusababisha ajali mbaya za barabarani
  3. S

    JamiiForums Tanzania Govt: No Foreign Terrorists in Ukerewe

    Gazeti hili ni la kikafiri unategemea nini? Tutafika pahali hata haya magazeti yanayofadhiliwa na dini nyengine kama Tanzania daima hatutonunua tena.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Polisi Zanzibar: hakuna FBI wala hakuna aliyekamatwa kwa mauwaji ya Padri

    Upepo tu utapita
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Marufuku DVD na Kanda nyingine za Kukashifu Dini

    Ukae halafu urudie rudie huo ujumbe kwakua akili yako imetoka kuzimu mpaka utakapopata fahamu vizur ndio tunaweza tukakaa pamoja.
  6. S

    JamiiForums Tanzania FBI ndani ya Tanzania, kazi ipo

    Zanzibar ni njema atakae naaje, hao watakuja kutalii tuu kama wanavokuja wengine.
  7. S

    JamiiForums Tanzania FBI ndani ya Tanzania, kazi ipo

    Tunalisubiri hili gazeti la mwanchi liombe radhi baada ya huu utumbo
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Marufuku DVD na Kanda nyingine za Kukashifu Dini

    Kwani hii dini ya ukiristo imekaa kiuchiuchi? Mpaka waislamu wote wanaikashifu, huko mbeya nadhani hao viongozi wamekosa macho wanangalia kwa visigino vya miguu. Hebu someni hapa nyinyi viongozi wa mkoa wa mbeya: WAKRISTO WAACHE KUTULETEA POROJO ZAO ZA KANISANI,ukristo ni dini ya...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mwai Kibaki awadharau watanzania!

    Sifa ya kumpa kibaki jina la barabara hapa Tz amewapatia CCM mafunzo ya kuchakachua uchaguzi 2015.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi lajiweka njia panda

    Kwanini magazeti yanaiyumbisha nchi hii? Nani anayasimamia? Wala haitoshi kufungiwa tuu au kuhojiwa kwa viongozi wake. Haya magazeti na vyombo vya habari ndio hanzo cha maafa nchi hii? Tunayashuhudia mengi wanayoaandika yaliyokua si ya ukweli lakini hakuna hatua za kukidhi zinazochukuliwa...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Picha: Aibu jimboni kwa Ole Medeye

    Inaliza......
  12. S

    JamiiForums Tanzania Watanzania Wanapodharauliwa na Kutukanwa

    Rais ni kuliko janga anafuta mpaka historia ya kwao kweli udhaifu unadhihirika, kama amefanya hivi kwao watu wa mtwara wategemee nini
  13. S

    JamiiForums Tanzania Watanzania Wanapodharauliwa na Kutukanwa

    Old bagamoyo is historic name, why kibaki road? What happen?
  14. S

    JamiiForums Tanzania Wanaodaiwa kumuua Padri Mushi Wakamatwa...

    Hayo ya ulimboka yamezuka
  15. S

    JamiiForums Tanzania MH. Nchimbi wengi wanahitaji ukamilishe ulichokiomba kwa Mh. Rais..!!

    Ingekua serikali inaendeshwa na ww na mchimbi ungeweza.
Back
Top Bottom