Jeshi la polisi lajiweka njia panda

Jeshi la polisi lajiweka njia panda

Kwanini magazeti yanaiyumbisha nchi hii? Nani anayasimamia? Wala haitoshi kufungiwa tuu au kuhojiwa kwa viongozi wake. Haya magazeti na vyombo vya habari ndio hanzo cha maafa nchi hii?

Tunayashuhudia mengi wanayoaandika yaliyokua si ya ukweli lakini hakuna hatua za kukidhi zinazochukuliwa kuyazibiti, magazti ya hapa tanzania yanamuahiri mtu mmoja mmoja, umma mpaka serikali yetu.

Tunakiomba chombo kinachosimamia vyombo vya habari binafsi kazi za kuzibiti hivi wasiwaachie polisi tuu na wao wanawajibu wa kuvidhibiti.
 
Werema kama una TAnzania katika ubongo wako fanya hili angalau ujenge heshima!!

Kwa mtu kama Ilunga na Mseleem!

This offence is created by section 4 of the Offences against the Person Act 1861 which reads:
. . . whosoever shall solicit, encourage, persuade, or endeavour to persuade, or shall propose to any person, to murder any other person, whether he be a subject of Her Majesty or not, and whether he be within the Queen’s dominions or not, shall be guilty of a misdemeanor, and being convicted thereof shall be liable . . . to [imprisonment for life] . . .

 
Back
Top Bottom