Recent content by Sam Upendo

  1. S

    Serikali futa matokeo ya Form 4 badala yake tumia matokeo ya Mock, 2012

    Katika hali ya kawaida haiwezekani asilimia 60% ya watahiniwa wa form 4 wakafeli mtihani. Sote tunajua kwamba wanafunzi hawakufundishwa vizuri kwa sababu mbalimbali lakini kubwa ni mgomo wa kitaifa wa walimu mnamo mwezi wa saba japokuwa pilkapilka zake zilianza mapema kimya kimya bila...
  2. S

    CHADEMA na Mnyika waongo katika suala la Gesi

    Wakati CDM wanatoa kauli yao Bungeni kuhusu mradi wa serikali wa ujenzi wa bomba la gesi, msimamo wa wananchi wa mtwara kuhusu mradi huo ulikuwa bado kutangazwa. Hivyo kama CDM wangetamka bungeni kwa wakati huo kwamba wananchi wa mtwara hawaungi mkono mradi huo, huo ungekuwa uzushi na uchochezi...
  3. S

    CHADEMA, mchukueni HAMADI RASHID

    Huyu mtu alimkashifu sana Kamanda wetu mpendwa LISSU, Bungeni wakati wa mjadala wa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba wakati CDM walipotoka nje ya Bunge kwamba ni LISSU ni Mwanasheria Bandia na kwamba asikanyage Zanzibar. Jamani, mmeshasahau?
  4. S

    Bakuli la CCM Mtwara!!

    Nape aliwahi kushutumu CDM kwamba wanawachangisha wanachama, yuko wapi ajibu barua hii, au kwa CCM ni halali?
  5. S

    Ndugu zangu Wana JF, WAISLAMU WA UHAMSHO Ndio Akina nani?

    Wizara ya mambo ya ndani mnaoendelea kumhoji Mh. Nassari kuhusu matamshi yake ya kuigawa nchi jibu swali hili.
  6. S

    Rai ya Jenerali: Waziri mkuu asiye waziri mkuu, serikali iliyobinafsishwa - hatuendi kokote

    Tanzania ni nchi ya kusikitikia sana. Ni nchi yenye, - Rais asiye Rais. Hajui yanayotendeka nchini mwake. - Waziri mkuu asiye waziri mkuu. Hana mamlaka ya kuwasimamia mawaziri, - CAG asiye CAG. Taarifa zake hazina maana kwa Kikwete, - Pia tuna MAKAMU WA RAIS asiye MAKAMU WA RAIS. Kazi yake ni...
  7. S

    Kamati za bunge zifutwe!

    Ule usemi kwamba kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji umetimia leo hii bungeni. Pamoja na hoja kali za wabunge na watanzania wote kwa ujumla kuhusu ubadhirifu wa mawaziri, leo hii wakati wa kuahirisha bunge Pinda hakueleza lolote kuhusu msimamo wa serikali kuhusu hoja hizo. Kwa maana...
  8. S

    Ushindi wa hoja wa benjamin mkapa - kigoda cha mwalimu nyerere nkurumah

    Hivi Mkapa hakuulizwa kwamba ni muwekezaji gani aliyeuziwa Kiwira? Kwamba je, Kiwira ilikuwa na thamani ya kiasi gani wakati inauzwa, na huyo muwekezaji aliinunua kwa bei gani, na aliiendeleza vipi? Hapo ndipo tungefahamu kama kweli na yeye Mkapa ni fisadi au la.
  9. S

    Kikwete awalinda Mawaziri - Asisitiza waachwe, UPEPO HUU UTAPITA!

    Kama Kikwete anaona kwamba kilio cha wabunge kwamba kuna ufisadi mkubwa sana Serikalini ni upepo wa kupita maana yake ni kwamba hata taarifa ya CAG ni upepo wa kupita. Yaani taarifa hiyo ni uzushi tu, kwamba watu wanawaonea wivu mawaziri wake pamoja na wakurugenzi wake Wilayani. Yaani ule usemi...
  10. S

    Mzee Pinda linda heshima yako - Jiuzulu tu

    Kama Kikwete anaonana kwamba kilio cha wabunge kwamba kuna ufisadi mkubwa sana Serikalini ni upepo wa kupita maana yake ni kwamba hata taarifa ya CAG ni upepo wa kupita. Yaani taarifa hiyo ni uzushi tu, kwamba watu wanawaonea wivu mawaziri wake pamoja na wakurugenzi wake Wilayani. Yaani ule...
  11. S

    Lema apewa chopa kujenga Chadema

    Utaratibu wa kisheria ni kwamba kwa vile Lema ameappeal, anatakiwa kuweka injunction ya kutosimamishwa ubunge mpaka hapo appeal yake itakaposikilizwa na kuamuliwa upya na Court of Appeal. Hivyo Lema anatakiwa kuwa Bungeni haraka asiendelee kupoteza muda.
  12. S

    Judge Warioba ateuliwa kuwa Mwenyekiti Tume ya Katiba

    Nina imani kubwa sana na mzee Warioba. Uzalendo wake kwa nchi hii unajulikana. Nina imani kubwa sana pia na wajumbe wote watume hii kwa upande wa Tz bara. Kwa upande wa Zanzibar bahati mbaya wengi wao siwafahamu vizuri, ukiondoa Dr. Ahmed Salim. Kwa tume hii kweli Katiba nzuri inaweza...
  13. S

    Mukama: Mbio za Urais CCM, sasa ni zamu ya nyanda za Juu Kusini, Kati na Kaskazini

    Tamko la Mukama ni msimamo wa CCM. Hivyo CCM imeshaamua, ila Nape siku hiyo hakuwepo. Tena amesahau kumalizia kwamba sambamba na uamuzi huo wa safari hii ni zamu ya mwanamke. Hivyo wanaume waache kujisumbua kwa sababu majina yao hayatarudishwa. Nasikia mama Rwakatale ameanza kujiandaa.
  14. S

    Updates: Zoezi la kupiga kura - Arumeru East

    Je, na CCM watazuiliwa kutumia magari yao kuzungukia vituo?
  15. S

    Kamati ya Bunge na Uamuzi holela

    Kumnyanganya Genereta ni sawa kabisa ili aone adha yas kukosa umeme. Unaelewa ni kwa nini Pilot wa ndege za kiraia haruhusiwi kuwa na mwavuli ya kuokoa maisha (Parachute?). Ili atambue kwamba asipokuwa makini yeye pamoja na abiria wake wote kwa pamoja wataangamia.
Back
Top Bottom