Recent content by sam sulle

  1. sam sulle

    Habari Njema kuhusu Tundu Lissu: Atoka chumba cha upasuaji akiwa vema

    Mungu ampe uponyaji wa haraka mtanzania mwenzetu MH. TUNDU Lissu Sent using Jamii Forums mobile app
  2. sam sulle

    Polisi: Tutampeleka Mahakamani Tundu Lissu tukimaliza upelelezi

    Sasa hapo uchochezi inapatikana kwenye mkojo? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. sam sulle

    Watumishi 450 washinda rufaa ya vyeti feki, hakuna mishahara mipya

    Wale wenye matumaini ya kuongezwa mshahara mpoooo!!! Habari ndo hiyo hakuna mishahara mpya. Period Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app
  4. sam sulle

    Mume wangu huwa hatandiki kitanda

    Upuuzi huo kwanza Huna mume ndo maana unasema hvo. Wanawake wenye waume huwa hawaongei ovyo dhidi ya waume zao km ufanyavyo ww ni kiruka njia tu Huna mume
  5. sam sulle

    Anachotafuta Makonda ni laana, anafokea maafisa Elimu

    Hapo anatumia jazba pasipostahili kutumika. Ktk kuadress mass huwezi kuwakaripia wote km wtt wadogo
  6. sam sulle

    Pwani: Wawili wahofiwa kuuawa kwa risasi Kibiti, idadi ya Waliokufa inasikitisha, sasa yatosha

    Hao wauaji wa Kibiti wanatokea wapi wasikamatwe na mikono ya Dola? Kweli wanatamba kiasi hicho kana kwamba hii nchi ni ya kwao wanafanya watakavyo! !! That's too much Our Government must take strong and serious action
  7. sam sulle

    Bungeni: Mbunge wa Kibamba, John Mnyika akwaa adhabu kwa utovu wa nidhamu

    Hawezi kuwa na masikio 100 kweli hakuna mtu mwenye uwezo huo lakini mbona wa upinzani akiwasha Mic na kuongea km huyo wa leo huyo huyo mwenye masikio mawili anasikia? Inakuwaje leo hajasikia mnyika kuitwa mwizi? Hapo unapata picha halisi kwa nn spika wa Bunge asitokane na Chama cha siasa kama...
  8. sam sulle

    Makonda: Marufuku kudai nyongeza ya mshahara! Nashangaa watu wanapita na mabango, mie ningewachapa

    Yy akiwa km nani? Ana mamlaka hayo au ni ulevi tu hasa wa madaraka?
  9. sam sulle

    Makonda awaponza Star Tv na Sahara Media mbele ya TEF

    Wengine Mabashite kweli ati rais wa 2025 kweli akutukanaye hakuchagulii tusi Bashite awe Rais wa Tz?
  10. sam sulle

    Kuombewa na mtumishi wa Mungu GeorDavie ni laki moja kwa kila mtu

    Hakuna injili ya hivyo huo ni wizi mtupu. Na mtu atakayetoa laki moja km ada ya kuombewa naye anapaswa kupimwa akili zake km ziko sawasawa
  11. sam sulle

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Singida (w) Iramba jaribu na Misigiri barabar kuu ya lami kwenda Mwanza-Dodoma mm nije Moshi (v) au Manispaa Idara Sekondari Km uko tayari nitafute kwa Simu 0786 502450
  12. sam sulle

    Nina mimba ya msafisha kucha... Mmh!

    Usaliti uliomfanyia mume wako Mungu atakulipa ww mwanamke usiye na hata tone la huruma kwa mumeo afu mume anajua mimba ni yake!!! Daah Mungu atakulipa
  13. sam sulle

    Mchungaji Rwakatare aapishwa kuwa Mbunge wa Viti Maalumu(CCM)

    Wacha tuisome namba ee ccm mbele kwa mbeleeeeee
Back
Top Bottom